Joshua robin
Member
- Aug 27, 2013
- 36
- 6
Samahanini wakuu, nimenunua kisimu cha nokia kwa mtu{nokia6300}, lakin nikaweka pin code za nokia ila ni badil, lakin inaone zilishwa badilishwa na mwenye simu hazijui. Je ipo njia ya kui restore? Kama njia nyingine tofaut na ku flash nisaidien kwan pin code ni ulinzi kwenye sim yang