Nauliza hivi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauliza hivi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mataka, Mar 9, 2011.

 1. m

  mataka JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Habari za leo wachambuzi wenzangu, mi napenda kuwauliza swali moja jepesi, hivi wewe unadhani upinzani wa kweli kwa taifa letu kongwe kiumri na changa kimaendeleo ulikuwepo enzi za mwalimu/ kipindi cha mzee wa ruksa/ au mzee Ben au upo kwa mzee wa kasi mpya, nguvu mpya na ari zaidi au upo katika kipindi chake cha pili cha ari zaidi, nguvu zaidi na kasi zaidi ? Nitafurahi zaidi ikiwa utanifafanulia kwa marefu na mapana. Ni hayo tu kwa leo.
   
 2. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Mie nafikiri upinzani wa kweli ulikuwepo kwenye uchaguzi wa 1995 enze za mzee Ben na pia upinzani wa kweli zaidi ulijitokeza kwenye uchaguzi uchaguzi mkuu wa mwaka jana 2010 kiasi kwamba hata JK na wana CCM wote kukiri kuwa vyama vya upinzani hasa CHADEMA vimeitoa jasho CCM.
   
 3. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kheee,kweli nimeamini kuna watu wana-matatizo mengi hadi wanashindwa elewa ni ktk kipindi kipi kulikuwa na upinzani wa kweli ...jamani mataka hivi unasoma kidato cha ngapi?nadhani umezaliwa kipindi cha mwinyi au vp?lakini hata kusoma history na uraia umeshndwa.,lol!?haya ngoja nikupe utamu kidogo mana nimepata bahati ya kuonja radha za awamu zote 4 ,mfumo wa vyama vingi umeanza mwaka 1992 kwa hapa tz na kidunchu upinzani na chembechembe za vyama vingi zikachipua ,zikamea,zikapaliliwa na mwaka 95 ndo ukafanyika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi....mwaka 2000,2005 ndo uchaguzi na upinzani ukawa umeshakuwa na kukomaa ,hadi mwaka 2010 ndio lol,upinzani umekuwa chronic na hadi chama tawala kinapata hofu ya upinzani na kuthibitisha hilo nadhani mwaka 2015 ndo nchi itapata uongozi wa upinzani ,nadhani nimejaribu kukujibu mr,mrs mataka au vp?
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,562
  Likes Received: 3,858
  Trophy Points: 280
  1961-1967, 1995,2010
   
 5. m

  mataka JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  ndugu yangu mi nataka kujua kpnd kp hasa upinzani ulikuweko manake icje ikawa nguvu ya soda ebu angalia mwenyewe wanavyotofautiana, zito wakt mwngne kigeugeu anakubaliana na ccm hapo tutasema huo ni upinzani wa kweli? Cdm hawatak kushrikiana na wenzake hapo nguvu ya upinzani wa kweli itatoka wapi? What i thnk iz BEAUTIFUL ONES ARE NOT YET BORN! Upo hapoooo!
   
 6. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  NO LONGER AT EASE,hey mataka mbona unapenda kuchukua subset eti zito,wakati wewe umeelezea upinzani in general perspective ,and what i think IT IS NOT POSSIBLE kumbadilisha uzuzu wake mkwere ,kwa uwepo wa upinzani wa kweli toka cdm ,NO TIME for arguing with the fool,time wil tell na SHUJAA WA KWELI ATAJULIKANA .
   
Loading...