beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,784
- 2,771
Hiyo inaitwa physical damage. Warranty center watacharge extra lakini wako more efficient na wameaminiwa na manufacturer kuliko hao mafundi makanjanja wa mtaani.
Unajua matengenezo yanayohusisha warranty? kaipigisha chini mwenyewe halafu iwe covered na warranty? warranty inahusu defects za mtengenezaji pia warranty huwa ina period maalum kuanzia mwaka hadi miaka miwili
nime ku pm namba ya mhusika ,, chek ur pm
NAITAJI USED IPAD 2 or 3. My no. 0769038065
Sijaiona bado
Hata Bima, wanachunguza kwanza ajali ya kizembe / makusudi hawakulipi
Gharama zipoje? Power button ya iphone yangu imekufa
Fresh nimetengeza kwa bei bt ni uhakika nw natumia na iko safi
Fresh nimetengeza kwa bei bt ni uhakika nw natumia na iko safi
Mcall hy 0717 956 685 anaitwa Hillary yupo Mavuno House posta mpya ukifika kwa sanamu la askar jingo la pinkyNaomba uniPM gharama ili nikienda nimejiandaa.
Hata hivyo na screen imevunjika pia.
Nataka kuweka na battery mpya pia
Mcall hy 0717 956 685 anaitwa Hillary yupo Mavuno House posta mpya ukifika kwa sanamu la askar jingo la pinky