Nauliza fundi mzuri wa iphone6

Nauliza fundi mzuri wa iphone6

Mi yangu ilivunjika kioo baada kama ya mwezi ikawa haichaji tena imenila laki tatu na bd tatizo limerudi pale pale sina hamu na mafundi kwa sasa nimeifungia tu ndani jinsi ilivyonitia wazimu

Pole sana mkuu na ulimbukeni wa iphone kwa hiyo pesa ungepata huawei u600 mpya
 
Warranty haiwi covered kwa tatizo kama hilo akirudisha wata m charge gharama za ziada. ..

Hiyo inaitwa physical damage. Warranty center watacharge extra lakini wako more efficient na wameaminiwa na manufacturer kuliko hao mafundi makanjanja wa mtaani.
 
Jaman kwa anayemjua fundi mzur wa kutengeza simu iphone6 imevunjika kioo bt touch inafanya kazi

Mlimani City mob 0713 555 405 Yassin. Duka linaitwa Beauty Point Kama sikosei, ni pale wanapouza Luku.

Queen Esther
 
mcheki erick mikocheni near myfair plaza.jamaa ni nnoma.ofisi yake inaitwa tembo electronics mcheki 0715244696.

Kweli uyu namfahamu pia, ni mwanafunzi wa jamaa anaitwa mwesiga GSM tech.alikuwa pale empress furniture! Uyu jamaa ndio alikuwa anatumiwa na duka la sapna! Ukimpata erick akishindwa atakupeleka kwa mwesiga! Pia Sele yuko apo apo posta, na mtaa wa aggrey wapo wataalam...enzi zetu simu zinakuja toka abroad zikiwa na lock walitusaidia sana hawa watu!!
 
Hiyo inaitwa physical damage. Warranty center watacharge extra lakini wako more efficient na wameaminiwa na manufacturer kuliko hao mafundi makanjanja wa mtaani.

Unaongea usichokijua, ukipeleka kwa supplier anakuambia rudi baada ya siku3 kumbe wanapeleka kwa fundi hao hao makanjanja!! Labda uzuri wa kupeleka ulikonunua ni kuwa ikifa kabisa unapewa nyingine, ikipona unarudishiwa iyo iyo!!
 
Jaman kwa anayemjua fundi mzur wa kutengeza simu iphone6 imevunjika kioo bt touch inafanya kazi

Njoo jm mall a.k.a harber view posta.. elite computers ni dealer wa apple , kuna jamaa pale yuko vizuri ghorofa ya pili , my two ipads zilikuwa zimeharibika digitizer na touch , power button n.k but zimekufa fixed vizuri kabisa .. jamaa ana deal na apple products tu !!
 
mcheki erick mikocheni near myfair plaza.jamaa ni nnoma.ofisi yake inaitwa tembo electronics mcheki 0715244696.

Hana lolote nilimpa simu akaifufua kwa siku mbili ikafa tena ndio kimoja na hela kala shwain
 
Du pole, pale Sapna, Samora evenue/ Posta kuna fundi mzuri huwa anaendaga siku moja moja, ukimuhitaji niambie umpigie. nipe no. yako
 
Njoo jm mall a.k.a harber view posta.. elite computers ni dealer wa apple , kuna jamaa pale yuko vizuri ghorofa ya pili , my two ipads zilikuwa zimeharibika digitizer na touch , power button n.k but zimekufa fixed vizuri kabisa .. jamaa ana deal na apple products tu !!

Gharama zipoje? Power button ya iphone yangu imekufa
 
Hiyo ni simu ya gharama na ina warranty usihangaike kwa mafundi wa mitaani labda kama umenunua mataa ya Ubungo

Unajua matengenezo yanayohusisha warranty? kaipigisha chini mwenyewe halafu iwe covered na warranty? warranty inahusu defects za mtengenezaji, pia warranty huwa ina period maalum kuanzia mwaka hadi miaka miwili
 
Kama ni original part na ipo under warranty peleka service center!

warranty hazisaidii uzembe wa kudondosha simu mwenyewe,

yaani wewe udondoshe simu uvunje kioo kisa una warranty wakutengenezeee.. hakuna huo ujinga
 
iphone aibadirishwi tachi ndg acha kumuongopea mwenzako hiyo inauzwa full face.0754 60 45 67.nichek niko karikoo shule ya uhuru dk 45 imepona hiyo simu
 
Kuhusu iPhone mkuu najua ni cm ya garama Ina warant nakushaur irudishe tu dukani

Warrant ina namna kaka! Warrant sio bima. Kaangusha sio machanical fairule ya kimuundo hiyo kiongozi. Kuangusha ni uzembe wa mtumiaji.
 
warranty hazisaidii uzembe wa kudondosha simu mwenyewe,

yaani wewe udondoshe simu uvunje kioo kisa una warranty wakutengenezeee.. hakuna huo ujinga

Watu wana information gap. Wanafikiri warrant ni bima aisee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom