pleti namba
Member
- Feb 17, 2015
- 91
- 32
Mi yangu ilivunjika kioo baada kama ya mwezi ikawa haichaji tena imenila laki tatu na bd tatizo limerudi pale pale sina hamu na mafundi kwa sasa nimeifungia tu ndani jinsi ilivyonitia wazimu
Kuhusu iPhone mkuu najua ni cm ya garama Ina warant nakushaur irudishe tu dukani
Jaman kwa anayemjua fundi mzur wa kutengeza simu iphone6 imevunjika kioo bt touch inafanya kazi
Warranty haiwi covered kwa tatizo kama hilo akirudisha wata m charge gharama za ziada. ..
Jaman kwa anayemjua fundi mzur wa kutengeza simu iphone6 imevunjika kioo bt touch inafanya kazi
mcheki erick mikocheni near myfair plaza.jamaa ni nnoma.ofisi yake inaitwa tembo electronics mcheki 0715244696.
Hiyo inaitwa physical damage. Warranty center watacharge extra lakini wako more efficient na wameaminiwa na manufacturer kuliko hao mafundi makanjanja wa mtaani.
Inamaana ulinunua kwa mateja? Mateja hawana warranty wala guarantee, angaika nayo bro... Utapata fundiHujui maana ya warrant wewe
Jaman kwa anayemjua fundi mzur wa kutengeza simu iphone6 imevunjika kioo bt touch inafanya kazi
mcheki erick mikocheni near myfair plaza.jamaa ni nnoma.ofisi yake inaitwa tembo electronics mcheki 0715244696.
Njoo jm mall a.k.a harber view posta.. elite computers ni dealer wa apple , kuna jamaa pale yuko vizuri ghorofa ya pili , my two ipads zilikuwa zimeharibika digitizer na touch , power button n.k but zimekufa fixed vizuri kabisa .. jamaa ana deal na apple products tu !!
Gharama zipoje? Power button ya iphone yangu imekufa
Hiyo ni simu ya gharama na ina warranty usihangaike kwa mafundi wa mitaani labda kama umenunua mataa ya Ubungo
Kama ni original part na ipo under warranty peleka service center!
Kuhusu iPhone mkuu najua ni cm ya garama Ina warant nakushaur irudishe tu dukani
warranty hazisaidii uzembe wa kudondosha simu mwenyewe,
yaani wewe udondoshe simu uvunje kioo kisa una warranty wakutengenezeee.. hakuna huo ujinga
Watu wana information gap. Wanafikiri warrant ni bima aisee!