Nauliza fundi mzuri wa iphone6

Nauliza fundi mzuri wa iphone6

MangaPwani

Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
26
Reaction score
1
Jaman kwa anayemjua fundi mzur wa kutengeza simu iphone6 imevunjika kioo bt touch inafanya kazi
 

Attachments

  • 1426493051082.jpg
    1426493051082.jpg
    32.9 KB · Views: 561
Imevunjika touch au display? Kama touch ni ya kubadili tu. Hata display nayo unabadili tu.
 
Kuna wahindi wapo pale lumumba' namba Yao nimeipoteza!! Lakini wanajulikana sana mitaa ile' we ulizia NAIM' utawapata. Wako vizuri sana.
 
Kuhusu iPhone mkuu najua ni cm ya garama Ina warant nakushaur irudishe tu dukani
 
Hiyo ni simu ya gharama na ina warranty usihangaike kwa mafundi wa mitaani labda kama umenunua mataa ya Ubungo
 
njoo ofisini kwangu mkuu...duka linaitwa SOUTH FAMILY lipo mtaa wa Agrey kariakoo
 
mcheki erick mikocheni near myfair plaza.jamaa ni nnoma.ofisi yake inaitwa tembo electronics mcheki 0715244696.
 
Mi yangu ilivunjika kioo baada kama ya mwezi ikawa haichaji tena imenila laki tatu na bd tatizo limerudi pale pale sina hamu na mafundi kwa sasa nimeifungia tu ndani jinsi ilivyonitia wazimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom