Nauliza daktari bingwa wa wanaume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauliza daktari bingwa wa wanaume

Discussion in 'JF Doctor' started by Barraza, Oct 10, 2011.

 1. Barraza

  Barraza JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Suala la nguvu za kiume kwa sasa limeshakuwa ishu kubwa kwa vijana wengi wa sasa,kwa utafiti uliofanywa mwaka 2013 na shirika la Afya duniani unaonesha kuwa zaidi ya asilimia themanini ya wanawake hawatoshelezwi kimapenzi.

  Moja ya sababu kubwa inayochangia kutotoshelezwa huku kwa hawa wadada ni tatizo la upungufu wa uwezo wa mwanaume kumnyuka mwanamke kisawasawa ili kumkata nyege kabisa kwa kufika kileleni.

  Wanaume wengi wa sasa wamekuwa wabovu kabisa katika kusimamisha mashine zao kiasi cha kuwa hata mdada awe mkali na mwenye mvuto namna gani amejitahidi sana kumtandika basi bao tatu kisha kitu inalala kabisaaa,tena kila bao huchukua dakika mbili tayari amekojoaLoo!

  Zifuatazo ni njia chache na salama kabisa za kuamsha nguvu za kiume maradufu.

  *AINA ZA VYAKULA

  Tusidanganyane chakula ndio kila kitu mwilini,vyakula vya nafaka zisizokobolewa ni vizuri sana kuupa uume nguvu kuliko unavyodhani. Hivyo kama ni ugali basi penda sana kula ugali wa dona na sio sembe kwani sembe huwa haina kiini cha njano chenye protini na wanga ambacho ni silaha sana katika kuutia nguvu uume na mwili kwa ujumla.

  Matunda pia kama matango,karoti ni muhimu sana katika kujenga nguvu za kiume.Vyakula vingine ni kama mihogo mibichi,magimbi nk. Lazima uwe na utamaduni wa kutumia aina hii ya vyakula katika maisha yako ya kila siku, sio eti leo una mechi na mdada ndio unajifanya kufakamia mamihogo loo siku hiyo!

  *MAZOEZI

  Mazoezi ya viungo ni muhimu sana kwani hufanya mwili uwe fit na hivyo huimarisha hata uume na kuufanya usilale kirahisi pale unapokuwa katika show na mrembo. Push up, kukimbia, kurukaruka na mazoezi mengine mengi ni muhimu sana.

  *ACHANA NA UNYWAJI WA POMBE ULIOPITA KIASI

  Pombe ni hatari sana na inadhoofisha sana nguvu za kiume hivyo chunga sana unywaji wa pombe uliopitiliza kwani ipo siku utajikuta unamwangalia tu mkeo kama dada ako vile wakati yeye nyege zimempanda balaa,matokeo yake itabidi achapwe na njemba zinazojua shughuli huko nje.

  *ACHANA NA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME

  Hizi dawa ni hatari sana hasahasa zile za hospitali kwani maranyingi zimetengenezwa kwa kemikali ambazo huamsha vichocheo mwili kwa muda flani lakini baada ya muda tatizo litaongezeka maradufu kwani ni tiba kwa muda mfupi tu.

  *UWE MAKINI NA UPIGAJI PUNYETO

  Hii kitu ni hatari sana hususani kwa wale wanaosugua sana mishipa ya uume hivyo huifanya isiwe ngangari kiasi cha kukusaidia kumshughulikia vizuri mtoto wa kike mwenye nyege zake. Hivyo kama unafanya haka ka mchezo inabidi uwe makini sana usijejutia.
   
  Last edited: Jan 15, 2016
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Zipo sababu nyingi zinazosababisha wanaume kupungua nguvu za kiume katika hizo ni hizi zifuatazo:Kama unazo nakuomba uache
  1.ubugiaji wa tumbaku .
  2.uvutaji wa sigara.
  3.utafunaji wa mirungi.
  4.unywaji wa pombe.
  5.kujisaidia kwa njia ya mkono.
  6.kuwa na mawazo kupita kiasi.
  7.kufanya kazi ngumu.

  TIBA YAKE:
  chukua mbegu za tikiti maji zikaange halafu zitwange ili zitoe unga, chukua juici ya kitunguu thaumu lita moja na asali lita moja changanya pamoja juisi ya kitunguu thaumu na asali weka na vijiko kumi vikubwa vya unga wa tikiti maji koroga vizuri na uwe unakunya dawa hii kikombe kimoja cha kahawa mara tatu kila siku kwa muda wa wiki moja.
   
 3. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  well noted Mzizi Mkavu, tutawapa elimu hii na watu wengine ambao wameng'ang'ana na madawa ya kununua na wengine huwa mpaka wanajidunga
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Oct 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Au jaribu hii hapa chini Tiba ya nguvu za kiume

  Chukua unga wa habbat sauda ( kwa kiingereza hii dawa inaitwa Nigella Sativa seed)vijiko viwili na unga wa tangawizi vijiko viwili na juisi ya kitunguu thaumu ujazo wa kikombe cha kahawa changanya pamoja kwenye asali ya ujazo vikombe viwili vya kahawa koroga vizuri pamoja halafu kunywa vijiko viwili vikubwa asubuhi na jioni kwa muda wa wiki mbili inshallah mambo yatakuwa mazuri sana.
   
 5. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #5
  Oct 11, 2011
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mhhh ngoja nitarudi baadaye kuchangia!
   
 6. ABEDNEGO

  ABEDNEGO Senior Member

  #6
  Oct 11, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 109
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Achana na mitishamba mjomba ,Watakumaliza hawa! Nenda pima malaria na chunguza damu yako isije ikawa una sukari. Pata muda wa kutosha kupumzika na pia fanya mazoezi ya mara kwa mara.Hakikisha wakati wa kulala unapata usingizi wa kutosha,Hata ikibidi kama usingizi unakawia kunywa red wine glass moja tu! Wala usijisumbue kubwia hayo madawa ya hospitali. Nakuhakikishia nguvu zako zitakuwa sawia kabisa.Angalizo joto la Dar nalo ni taabu fulani hivi.Ngoja ukirudi zako Mafinga uone hali itakavyokuwa,Kwaheri
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Oct 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  Nenda soko la Kariakoo mtaa wa Pemba kaulize Maduka ya Madawa ya kiarabu utayapata hapo kwa hao wapemba au uliza pia Waarabu wanaijuwa hiyo dawa mimi sipo Dar nipo nje ningelikuwepo ningekusaidia
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Oct 11, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,599
  Trophy Points: 280
  wewe unao Ushahidi wa kuwa Mitishamba inamaliza Mtu? Mbona unaleta maneno ya Pumba? toa ushahidi wako kuwa Dawa za mitishamba zina madhara kwa binadamu? Mkuu ABEDNEGO samahani mwenzangu wewe ni dume au jike? mimi ni dume je wewe mwenzangu?
   
 9. MKOBA2011

  MKOBA2011 Senior Member

  #9
  Oct 11, 2011
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 143
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sikushauri utumie dawa yeyote ni psychological problem tu unayo wewe unapokuwa kwenye tendo la ndoa kwa hiyo unachohitaji ni councelling kwenye suala zima la mapenzi kwani tendo hilo lina relation na brain working kwa hiyo ni kucheza na hisia zako naweza kukushauri kitu kama utahitaji ni PM
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Oct 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,252
  Likes Received: 19,383
  Trophy Points: 280
  heshima yako mzizi mkavu ...pole na kazi mkuu
   
 11. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #11
  Oct 11, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu nenda kamuone Dr, Tosiri pale agakhan ni mtaalamu wa mambo hayo lakini uwe tayari kwanza kufanya appointment na pia uwezekano wa kusubiri masaa kadhaa huwa anafanya upasuaji pia.
   
 12. mudushi

  mudushi Senior Member

  #12
  Oct 28, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Umefanikiwa au bado?
   
 13. MlongaHilo

  MlongaHilo Member

  #13
  Oct 28, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 15
  Wakuu,

  Pamoja na maelekezo ya kina, bado hamjajibu hoja ya msingi kuhusu kumpata daktari bingwa wa wanaume. Mara nyingi tunawasikia madaktari bingwa bingwa wa wanawake tu.
   
 14. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Nashangaa watu wanashindwa kukupatia jibu la swali lako.
  Umeomba ujulishwe daktari atakayekusaidia, watu wanakushauri utumie miti shamba!
  Nd'o maana Babu Ambi amewasababishia negative socioeconomic impact (amesababisha poverty, increase in morbidity and mortality, social/ family conflicts etc).

  Nenda Muhimbili ukamwone Dr. Kapona (sasa nawe nitakushangaa kama bado utaendelea kuomba upatiwe hata namba yake ya simu wakati umeshajulishwa jina lake na mahali anapopatikana na jina lenyewe ni jina ambalo huwezi kukuta kuna madaktari wengi wana jina kama hilo - labda ingekuwa Dr. Hamis).

  ANGALIZO: Usidharau huduma ambayo daktari yeyote (MD - Doctor of Medicine degree holder) atakupatia, hilo tatizo lako kwao ni tone la damu baharini ukilinganisha na magonjwa wanayoweza kutibu. Hiyo ya kukimbilia ku-specify daktari bingwa wa magonjwa ya wanaume unaweza kukosa ushirikiano endapo utaleta dharau kwa madaktari wengine. After all katika nchi zetu specialties kama hizo zipo chache (yaani mtu anabobea tu katika kitu fulani lkn haimaanishi ambao hawajabobea hawakijui, nadhani umeelewa!). Dr. Kapona amebobea (ame-specialize) katika masuala hayo.

  Marekebisho ya lugha (Kiswahili): BINGWA ni mtu anaye/ aliyewazidi wenzake; mtu ALIYEBOBEA ni mtu aliyejikita, au aliyesomea kitu fulani kwa undani zaidi. Kwa hiyo Daktari bingwa is WRONG, badala yake Daktari aliyebobea is CORRECT!

  By: Dr. Ernesto Che Guevara-II
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,245
  Trophy Points: 280
  Che guevara the 2nd, dr kapona ni gynae, to do with uzazi. Nadhani huyu ndugu anahitaji urologist? Anyway, kama inawezekana ndugu nenda hosp,omba kumuona general dr. Yeye atajua akupeleke kwa dr yupi wa kukusaidia. Pole sana na kila la kheri
   
 16. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #16
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  Hivi wapo madaktari bingwa wa magonjwa ya wanaume?
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  kuna madaktari bingwa wa wanawake
  wa watoto.....
  NGO za kutetea watoto na wanawake...

  wanaharaki wa haki za watoto na wanawake......

  wanaume tutajiju lol
   
 18. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,312
  Likes Received: 1,783
  Trophy Points: 280
  I was wondering! Sijawahi kusikia huyo daktari anapatikana wapi na anatibu nini. Well, Boss, itabidi tufikirie kuwa na madaktari wa aina hiyo pia. Tukizidiwa tutatibiwa na nani?
   
 19. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #19
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  unajua kulikuwa na research ilifanyika na iliandikwa
  kwenye TIME magaziine inaonesha kuwa Wanaume
  wanaathirika na maendeleo ya dunia ya sasa na 'uanaume'
  (manhood) Unaenda ukibadilika au kupungua...kutegemea na definition..

  while wanawake wanazidi kuwa strong kwa kadri siku zinavyokwenda..
  na sasa scientist wanasema wanawake wako strong kutuzidi kuliko inavyoaminika...

  soon....tutakuwa 'tunahitaji ' kila aina ya msaada....

  fikiria zamani ilikuwa 'aibu' kwa mwanaume kusema ana upungufu wa nguvu za kiume
  these days tatizo limekuwa so big kiasi its normal kusikia hiyo 'complain'.....
   
 20. CHE GUEVARA-II

  CHE GUEVARA-II JF-Expert Member

  #20
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 531
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Tatizo humu JF hatujuani na wala hatuna haja ya kujuana isipokuwa inapofikia mahali ambapo mtu anaingilia fani na kueleza vitu ambavyo sivyo ndipo uvumilivu unapotushinda.
  I am a Medical Officer (MD degree holder from Muhimbili University Of Health and Allied Sciences - MUHAS); Dr. Y. Kapona, an Obs/Gyn specialist with a sub-speciality in Male reproductive system (fertility, impotence etc) - he was my mentor when I was a fourth year Medical student since six (6) years ago in Firm II in 2006). Mnataka tuwapatie ushauri gani enyi waTanzania mlio na imani haba, mliojaaliwa kupata huduma hizi bure bila malipo? Sehemu zingine kupata ushauri tu kama huu unalipia jamani! Duh! When the man turns out to be infertile
   
Loading...