nicca frm nowhre
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 394
- 1,518
Habar wnajukwaa! natumai ni wazima wa afya!
Nimekwama kdogo nna simu aina ya samsung s6 edge+ imecrack kioo, so nahitaj kuweza kujua cost ya kioo chake!!
Then kuna ishu ya network nataka kuipandsha network wajuz naomben msaada kwa hil[emoji120]