Nauli za Mabasi Mikoani.

Ngoja niwachanganulie nauli za SUMATRA kulingana na umbali na daraja la basi.

DARAJA
Ordinary. 36.89Tshs/km

Semi luxury 53.22Tshs/km

Luxury. 58.47Tshs./km

NB:
Nauli hizo ni kwa njia/barabara za lami.Kwa barabara zisizo za lami kwa daraja la kawaida(ordinary) ni 46.11 Tsh/kilometa.
 
Nilidhani umegongwa na gari kumbe umegongwa nyuma na baba yko
Wana jamvi wanazungumzia nauli za mabasi kwenda mikoani!! Kupumuliwa kisogoni na mzee wako imekutoa akili kabisa,halafu fistula umeisababisha kwa mama moesy,laana tupu!
 
Mkuu wiki iliyopita tu nimefika songea saa 3 kupitia Lindi na niliporud saa 4 kasoro nipo dar so sio habari za vijiweni....kabla ya speed limiti mwaka 2017 nilifika songea saa 2 usiku
 
Reactions: y-n
Kwa sasa, basi linatoka Dar saa 12 asubuhi na kuingia Songea any time kuanzia saa 3 usiku. Haijalishi umepitia Iringa au Lindi
Iringa mara nyingi hufika songea saa 4 had 5 mkuu,,na mara chache saa 3 hii ni kutokan n check point nyingi njia y iringa n msongamano pamoja n vilima
 
Mkuu hata saa za njia ya Lindi zinafika huo muda
 
nauli Dar-Maswa?
mabasi yake je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…