sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,169
Wanakuja hivi pundeHabari wakuu,
Hapa ndo naona sehemu rahisi ya kupata msaada.
Nataka kufahamu nauli za mabasi ya mikoani. Nikimpata wakala anayehusika au kampuni linalofanya usafirishaji wa abiria nitashukuru.
Dar to Songea 46,000/-Habari wakuu,
Hapa ndo naona sehemu rahisi ya kupata msaada.
Nataka kufahamu nauli za mabasi ya mikoani. Nikimpata wakala anayehusika au kampuni linalofanya usafirishaji wa abiria nitashukuru.
Dsm kwenda Mtwara nauli ni shilingi ngapi?Unataka kufahamu nauli ya kutoka wapi kwenda wapi?
i.e Dsm-Kigoma,au Dsm-Mtwara au ni kutoka mkoa gani (wengi huanzia au huishia Dsm_japo sio lazima) kwenda wapi au mikoa yooooote tu ya Tanzania?
Mikoa ipi?Habari wakuu,
Hapa ndo naona sehemu rahisi ya kupata msaada.
Nataka kufahamu nauli za mabasi ya mikoani. Nikimpata wakala anayehusika au kampuni linalofanya usafirishaji wa abiria nitashukuru.
Sina hakika sana ila nadhani ni kama 25000/= hivi japo pia inategemea na hadhi ya basi ulipandaloDsm kwenda Mtwara nauli ni shilingi ngapi?
Nataka Nauli ya basi kutoka Morogoro hadi NzegaUnataka kufahamu nauli ya kutoka wapi kwenda wapi?
i.e Dsm-Kigoma,au Dsm-Mtwara au ni kutoka mkoa gani (wengi huanzia au huishia Dsm_japo sio lazima) kwenda wapi au mikoa yooooote tu ya Tanzania?
BUTI la Zungu, siti za VIP 29,500/- , zingine 25,000/-Sina hakika sana ila nadhani ni kama 25000/= hivi japo pia inategemea na hadhi ya basi ulipandalo
Kuna basi ambazo huanzia hapo Msamvu kwenda Mwanza,Nataka Nauli ya basi kutoka Morogoro hadi Nzega
ShukraniBUTI la Zungu, siti za VIP 29,500/- , zingine 25,000/-
46000/=Dar-songea?kupitia Lindi
Mkuu nauli ya kutoka Moro hadi NzegaMikoa ipi?
Dar, Mwanza, Kgm, Tanga, Mtwara......!
46,000/-... Lipo selous linaloanzia Sudani pale TEMEKE na Superfeo linaloanzia UBUNGODar-songea?kupitia Lindi
Shukran boss...kawaida unafika saa ngap songea?46,000/-... Lipo selous linaloanzia Sudani pale TEMEKE na Superfeo linaloanzia UBUNGO