Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
NASHANGAA NA MADALADALA MENGINE YAMEFUTA ILE BEI YA ZAMANI YAMEANDIKA YA KWAO KWANINI LAKINI...yes; sie huku bunju tumeanza kulipishwa 750 toka makumbusho,na kutoka makumbusho mpk tegeta wamepandisha 100,imekua 500,mwanzo ilikua kama utani ila sasa tunaanza kuzoea.
Sijui hiyo serikali ya "kazi tu" iko wapi, watu wanajiamulia,wanafanya wanavyotaka, hawaulizwi na yeyote.
ITAKUWA IPO LIKIZO AISEE ILA SI SAWA KUPANDISHA BEI KIHOLELA...yes; sie huku bunju tumeanza kulipishwa 750 toka makumbusho,na kutoka makumbusho mpk tegeta wamepandisha 100,imekua 500,mwanzo ilikua kama utani ila sasa tunaanza kuzoea.
Sijui hiyo serikali ya "kazi tu" iko wapi, watu wanajiamulia,wanafanya wanavyotaka, hawaulizwi na yeyote.
HIVI SERIKALI IMEPANDISHA LINI NAULI ZA DALADALA
NINACHOJUA MAFUTA YAMESHUKA BEI NA NAULI NI ZILE ZILE CHA AJABU KUNA DALADALA ZIMEONGEZA 100 NYINGINE 150 NA NYINGINE 50.....
HAIWEZEKANI KUTEMBEA AISEE HII NJI YA AJABU SANA UTAKUTA GARI INAINGIA KITUONI INATANGAZA NAULI BUKU ILHALI NAULI HALALI NI SH 500 SASA KAMA MTU UMEJIKOKI NA KANAULI KAKO UNAWEZA JIKUTA UNALALA KITUONI SI SAWA KUJIAMULIA KILA MTU AKIAWakomoeni tembeeni zenu kwa miguu.
kwanini tena bila uoga wamefuta bei za halali wakaandika za kwaoMakumbusho Bunju now #750
we kwani wanaruhusiwa kupanga bei wenyewe ingkewa hivyo si ingekuwa vurugu tupu hao madaladala wamavunja sheria na wanatuibiaPoleni sana..ndio public transport hizo..
Umechukua hatua gani mpaka sasa? Au kupost humu tu..?we kwani wanaruhusiwa kupanga bei wenyewe ingkewa hivyo si ingekuwa vurugu tupu hao madaladala wamavunja sheria na wanatuibia
ulitaka nichukue ipi kwa mfanoUmechukua hatua gani mpaka sasa? Au kupost humu tu..?
Nenda kitengo husika kama Sumatra, hakiki viwango vya nauli ukiona tofauti wasilisha malalamiko yako. Soon watalifanyia kazi.ulitaka nichukue ipi kwa mfano
Hahahahaaaaaa aisee huu mwaka ni wako.....JF wameondoa LIKES zako.....daladala wamepandisha bei.....VUMILIAA UTASHINDAHivi serikali imepandisha lini nauli za daladala?
Ninachokijua mafuta yameshuka bei na nauli ni zile zile cha ajabu kuna daladala zimeongeza 100 nyingine 150, na nyingine 50.
Nenda kitengo husika kama Sumatra, hakiki viwango vya nauli ukiona tofauti wasilisha malalamiko yako. Soon watalifanyia kazi.
na mafuta yameshuka bei nani kawapa idhini hiyo wakati sumatra hawajapandisha bei? huo ni wiziKwenye nshu ya kupandisha nauli huwa wapo fasta
nauli imepandishwa kiholela hata likes zangu zimeondolewa kiholela pia......... lazima nisemeHahahahaaaaaa aisee huu mwaka ni wako.....JF wameondoa LIKES zako.....daladala wamepandisha bei.....VUMILIAA UTASHINDA