Habari ya jioni waungwana
Naomba kujuzwa nauli ya Dar to Mwanza kwasasa ni Tshs ngapi kwa semi luxury bus
Mana nina miaka miwili sijaenda Mwanza sasa mwezi huu nina safari ya kuelekea kanda ya ziwa
Nikipata msaada wa kutajiwa pia basi linalowahi kufika nitashukuru pia