mkuu una stress, kuna njia nyingi za kupata data ikiwemo hapa kuna watu ni wafanyabishara wanasafiri sana,,,wanaweza kutoa info sahihi,
Inategemea na shirika unalotaka kusafiria ethiopia airline kwenda na kurudi andaa ka 1.2m ila ingia kwenye shirika unalotaka kusafiria check booking nd plan
hi wana JF nisaidieni, nahitaji kujua nauli ya kwenda dubai yaan go and return inafika kiasi gani hela za kibongo, nataka kwenda kushangaa na kurudi maana nategemea kuchukua leave atleast nikapoteze week moja huko.
hebu funguka hizo disadvantage zake??Nguvu82, point ya kukumbuka ni kuwa nauli ya ndege haiko fixed kama bus, yaani ukifanya booking mapema nauli inakuwa chini, kadiri tarehe ya safari inavyo karibia ndio nauli inazidi kupanda, cheapest way ni kupitia websites za airline zinazo fly kati Dubai na hapo ulipo lakini malipo ni kwa credit au debit card, utakuwa umesave kama $ 50 ya service fee ya travel agent, ila kuna disadvantages zake pia..
hebu funguka hizo disadvantage zake??