tusipotoshane
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 730
- 695
OK,naenda J'berg asubuhi hii narudi mchana,nitakushtua/tutashtuana ili tuwasiliane Mkuu.
Assnte ...naweza kuja nbox mkuu???
Assnte ...naweza kuja nbox mkuu???
Mozambique nilipita miaka ya nyuma kidogo niliona raia wao wanaishi maisha duni sana pia vyakula na hotel bei zao zilikua juu kidogo tofauti na nchi za kusini huko na police wao ni wasumbufu hao hasa wakikuona una gari na namba za GP wengi wao wanaunga unga kiswahili wanakuomba rushwa live bila chenga wanasema " wewe Nyerere toa hela" wakiona pass ya kibongo nilipita huko Tete aisee bars bara ni ndefu hiyo nikaja kutokea Malawi huku aisee siji kurudia tena kupita hiyo bara bara ya Mozambique...
UongoOK,naenda J'berg asubuhi hii narudi mchana,nitakushtua/tutashtuana ili tuwasiliane Mkuu.
Mimi bara zote za kusini za kuitafuta Tanzania kutokea SA hakuna ambayo sijapita sikutaka kusimuliwa nikiangalia Km ngapi basi naamua nitoke na N 3 ndio Mozambique, N 1 Zimbabwe,N 4 naitafuta Botswana,Zambia Bongo...na N 2 ukipitia Namibia...Maisha yalikuwa duni kwa sababu ya vita ya muda mrefu. Magofu yaliyo karabatiwa kutokana na vita dalili bado zipo.
Kuingilia Mtwara au Ruvuma kwenda Maputo ni mbali sana,askari wasumbufu pia mabaki ya Renamo bado yapo.
Ni bora upitie Zimbabwe au SA, kupitia Malawi bado kuna usumbufu.
Hali ya hewa bado ni nzuri sana,nchi ina natural vegetation kabisa.
Mimi bara zote za kusini za kuitafuta Tanzania kutokea SA hakuna ambayo sijapita sikutaka kusimuliwa nikiangalia Km ngapi basi naamua nitoke na N 3 ndio Mozambique, N 1 Zimbabwe,N 4 naitafuta Botswana,Zambia Bongo...na N 2 ukipitia Namibia...
Wa nini?Ndio nakaribia kurudi.U
Uongo
Namin wote wazima....naomba mnjuze nauli bei gan kutoka motepuez au Pemba cabudelgaldo haadi Maputo...
... Kweli itakua zaidi ya 3000 meticals??
Namin wote wazima....naomba mnjuze nauli bei gan kutoka motepuez au Pemba cabudelgaldo haadi Maputo...
... Kweli itakua zaidi ya 3000 meticals??