Nauli motepuez...

Nauli motepuez...

stragic

Member
Joined
Apr 25, 2018
Posts
90
Reaction score
58
Namin wote wazima....naomba mnjuze nauli bei gan kutoka motepuez au Pemba cabudelgaldo haadi Maputo...
... Kweli itakua zaidi ya 3000 meticals??
 
Halafu nyie ni wabongo wenzangu kabisa.Msiwe mnarudia huko uswekeni, njooni Maputo karibu na Afrin Hotel tusalimiane.

Jioni tutakwenda maeneo ya Polana Hotel na kumalizia safari yetu fish market.Ila muwe na dokumenti halali za kuzunguka humu mjini.

Samaki nchanga wengi lakini sura kama wang'ata ndimu halafu wapenda raha sana wakati huo huo askari wao ni wasumbufu sana mitaani.

Ila hela yao ina thamani mbele ya dollar.

Mpaka J'berg ni si zaidi ya masaa 7,bata full kipupwe.
 
VP mkuu Upo Maputo??
 
VP mkuu Upo Maputo??
Yes,njoo karibu na hapa Afrin Hotel,mbele kuna Polisi post ya feri,nyuma kidogo kuna mall kubwa.Bararabara inayoelekea senta mjini.Maeneo niliyoyataja yote yapo within 200m-400m long na Afrin Hotel,karibu sana Mkuu.
 
Assnte ...naweza kuja nbox mkuu???
 
Mozambique nilipita miaka ya nyuma kidogo niliona raia wao wanaishi maisha duni sana pia vyakula na hotel bei zao zilikua juu kidogo tofauti na nchi za kusini huko na police wao ni wasumbufu hao hasa wakikuona una gari na namba za GP wengi wao wanaunga unga kiswahili wanakuomba rushwa live bila chenga wanasema " wewe Nyerere toa hela" wakiona pass ya kibongo nilipita huko Tete aisee bars bara ni ndefu hiyo nikaja kutokea Malawi huku aisee siji kurudia tena kupita hiyo bara bara ya Mozambique...
 
Back
Top Bottom