Naughty Kids.

Hawa ni wadogo sana.Nakumbuka nilipokuwa shule ya msingi mjini(Nilihamishwa toka shule ya msingi kijijini kwenda shule ya msingi mjini)kuna kijana wa darasa la sita alikuwa akitembea na kioo mfukoni.Akikuta wasichana wamesimama mahali, anaweka kioo chini katikati ya miguu ya msichana na kutazama vinavyoakisiwa kwenye kioo. Wasichana walimshtaki kwa mwalimu mkuu akafukuzwa shule.
 

Adventures za utotoni
 
Hawa watoto watapofuka macho sehemu wanazochungulia kuna laser :A S wink::A S wink::A S wink:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…