wakuu msaada wenu nimedownload tally v7.2 na patch yake bt nmeshndwa kujua jinsi ya kuapply patch hhvyo kila niki-open inanidai id na pasword. Help please
wakuu msaada wenu nimedownload tally v7.2 na patch yake bt nmeshndwa kujua jinsi ya kuapply patch hhvyo kila niki-open inanidai id na pasword. Help please
jaribu kuangalia kama kuna document yenye guidelines za kuinstall iyo tally, pitia vizuri folder lote ulilo download kama kuna crack yake au namna ya kuactivate iyo tally7.. ningekushauri kutafuta tally 9 kwani kuna features zimekua upgraded.
mkuu kwa nini ufuge ng'ombe wakati maziwa unapata bure? iyo software ya tally inauzwa kwa matumizi ya kioffice(organization) sasa kama mtu unahitaji kwa matumizi ya binafsi kuna free version for educational purposes that said, sio mbaya kutafuta iyo yakujifunzia ambayo kwenye internet iko free of charge..