Natokwa Damu Ukeni Na sio Hedhi

Pole ila binafisi naona kuingia trh 21 it means trh 25 ulitoka period, trh 27 bado ni mapema kulala na mwanaume . siko sure ila nahisi ile sehemu unakuwa bado unaumwa sasa kukutana na mwanaume, na mwanaume mwenyewe ukute ana mguu wa mtoto mhhhhh. Anyway mwone Dr.
hili ndo jibu nlopewa hospital
 
Nahitaji kuandika ila naona nimetingwa kidogo, kwa ufupi nenda hospitalini ukafanyie physical examination kwa kutumia vaginoscopy ambao dakatari atachunguza kama kuna mabadiliko yoyote katika cervix, au kuta za uke wako na kama atakuta kuna mabadiliko basi itambidi achukue sampuli kidogo kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Naomba niandike kwa undani zaidi kwa hapo baadae maana kuna kazi imenitinga kidogo hapa mkuu.

Ila kwa dalili za mwanzo hapo inaweza kuwa una tatizo au unaelekea kupata cervical cancer.

MKUU KUNA ISHU NATAKA KUULIZA UNAWEZA NI PM
 
CONCLUSION

Nilifanikiwa kwenda Hospitali Jana ileile baada ya kuhimizwa sana na Wana JF ..
SHUKRANI SANA ...

Baada ya Full Checkup nkagundulika nina Mkwaruzo kidogo ndani Ya uke.... nikapewa dawa ya kukata Damu . ... na nimeambiwa nirudi tar 9 ili wachek tena.... but for now damu iliyodumu kwa siku 3 imekata baada ya kutumia dawa....

Ahsante sana Ndugu zangu.....

#BlessUp
 
Wasomi mmewaza mbali sana, hiyo dogo ndio mara ya kwanza anaona hiyo hali na hakuna shida nyingine. Antifibrinolytic agents zingemtosha kwa kuanzia kwa mtazamo wangu.
Hapana asitumie kwanza dawa yeyote mpaka amuone doct, kwa ushauri wangu, ila tiba inategemea ni kwa kias gani na muda gani tatizo limedumu
 
Hongera huo mkwaruzo ukeni hapoo
 
Pole ila binafisi naona kuingia trh 21 it means trh 25 ulitoka period, trh 27 bado ni mapema kulala na mwanaume . siko sure ila nahisi ile sehemu unakuwa bado unaumwa sasa kukutana na mwanaume, na mwanaume mwenyewe ukute ana mguu wa mtoto mhhhhh. Anyway mwone Dr.
Hahahah!!

Mwanamke kuwa period haina maana ndani ya tumbole kunakuwa na kidonda au kitu kinachopata maumivu kikiguswa...
 
CONCLUSION

Nilifanikiwa kwenda Hospitali Jana ileile baada ya kuhimizwa sana na Wana JF ..
SHUKRANI SANA ...

Baada ya Full Checkup nkagundulika nina Mkwaruzo kidogo ndani Ya uke.... nikapewa dawa ya kukata Damu . ... na nimeambiwa nirudi tar 9 ili wachek tena.... but for now damu iliyodumu kwa siku 3 imekata baada ya kutumia dawa....

Ahsante sana Ndugu zangu.....

#BlessUp
Pole sana,Ni imani yangu utapona kabisa.JF ni sehemu nzuri kwa ushauri pia.
 
Hapana asitumie kwanza dawa yeyote mpaka amuone doct, kwa ushauri wangu, ila tiba inategemea ni kwa kias gani na muda gani tatizo limedumu

Yeap, your right, though kwa maelezo yake mwanzo na mrejesho wake umeona what was done. Ni kukata tu damu kazi ikaisha.
 
Wasomi mmewaza mbali sana, hiyo dogo ndio mara ya kwanza anaona hiyo hali na hakuna shida nyingine. Antifibrinolytic agents zingemtosha kwa kuanzia kwa mtazamo wangu.
dawa nlopewa inaitwa primantin
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom