tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Haijafilisika mpaka leo watu wamenunua mafuta na pia hana kituo iringa wala mbeya
Haijafilisika mpaka leo watu wamenunua mafuta na pia hana kituo iringa wala mbeya
Wewe tamimusalim acha kuropoka tunafanya renovation .
Usikurupuke tu Na kwanza kutunga vitu ambavyo havipo
Refom gan wakati alnoor mwenyewe anafunga deport ya tz anabaki ya uganda na mombasa tu , tanzania wezi wengi hasa wewe amed umeiba sana station ya morogoro