Natoa Ushauri wa masuala ya mahusiano

Natoa Ushauri wa masuala ya mahusiano

Huyu mpenzi wangu nampenda sana ila ana wapenzi wengi( huwa naikagua simu yake), nimejaribu kumuacha mara nyingi nimeshindwa, hatuishi pamoja ila tuna malengo, nifanyeje ili niachane nae maana nimemchoka kwa tabia yake ya uzinzi

Kwa maelezo yako nahisi unekubaliana na hali halisi kwamba “You are sharing” ni moja ya mbinu ya kudumu kwenye mahusiano lakini chunga sana maana hii tabia pia hupelekea kuwaweka vulnerable kwenye kupata magonjwa yanayotokana na ngono.
Sasa Ushauri wangu ni kwamba, mtu anayekupenda hatadiriki kuwa na mahusiano mengine na hata ikitokea ameteleza basi atafanya juhudi zote usijue. Ukiona anakuonyesha kuwa ana mahusiano mengine basi ujue nafasi yako kwake ni ndogo sana so ni jukumu lako kujipima kama uendelee kuvumilia maumivu na manyanyaso ama uanze upya na mtu atakayekuthamini
 
Habari za jioni, leo nadedicate masaa kadhaa ambayo nitatoa ushauri kwenye masuala mbalimbali ya mahusiano. Wale watakaopenda niwape ushauri hapa karibuni na wale mtakaopenda kushauriwa kwa faragha pia karibuni.
kuna mtu ana ananipenda lakini mimi simpendi mda mwingine nampenda ila ninae ninaempenda
 
kuna mtu ana ananipenda lakini mimi simpendi mda mwingine nampenda ila ninae ninaempenda

Waweke kwenye mizania wote wawili, anza kuwapa points kulingana na vile vitu unataka. Atakayescore vingi ndio huyo kuwa naye, huyo mwingine mwache aende zake atafute atakayempenda
 
ninampenzi wang nampenda sana ila sjui kama alinipenda ila mimi bado nampenda sema anaonekana kama yes no
 
ninampenzi wang nampenda sana ila sjui kama alinipenda ila mimi bado nampenda sema anaonekana kama yes no

Muulize ili akwambie ni yes au no na iwe kwa vitendo
 
Madam hope uko salama, kucheza na mbwa hakuna age so you can still play with “German Shepherd”

Sio mbwa wa kizungu bana, mbwa hawa hawa wa kibongo ila wanakuwa wakali hatari sio mbwa koko. Mgeni hakatizi getini pekeyake.
 
Helmet yann sasa?

Hahaha hata sielewi nimeisikia PM network ikakata, hivi nimeandika helmet looh!!

Itakuwa huko PM kuna hatari mbona nimesaula hivii hadi napata wengee hehehehehee.
 
Hahaha hata sielewi nimeisikia PM network ikakata, hivi nimeandika helmet looh!!

Itakuwa huko PM kuna hatari mbona nimesaula hivii hadi napata wengee hehehehehee.

Njoo basi mm mwnyw nmesaula uje kuona
 
Njoo basi mm mwnyw nmesaula uje kuona

Hahahahahahaaa ungeuona uso wangu ulivo kuwa baada ya kusoma ujumbe wako, nyusi zimenyanyuka juu macho yametoka pimaa midomo ikaachama kidoogoo..... mshangao wa silence hehehehehee

Wee Nokia wewee, sema nimegundua kuna kitu tunafanana, ila mie ni mama yako mdogo.
 
Namm napenda wamama kwa sababu mara nyingi wanahimili vishindo
 
Mm natamani kupata mume wanaotoka bala la Amerika au Europe nipe mbinu nifanyaje?
 
Back
Top Bottom