Natoa Ushauri wa masuala ya mahusiano

Natoa Ushauri wa masuala ya mahusiano

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,108
Habari za jioni, leo nadedicate masaa kadhaa ambayo nitatoa ushauri kwenye masuala mbalimbali ya mahusiano. Wale watakaopenda niwape ushauri hapa karibuni na wale mtakaopenda kushauriwa kwa faragha pia karibuni.
 
M Jr inamaana ni mshana Jr au duh kama ni wewe basi ni hatari!!!!
 
Unaweza kunipa ushauri ili niweze kuishi na mbwa wangu vzr?

Mbwa huhitaji mtu anayemjali wanasema mbwa hukumbuka mtu aliyempa chakula mara kwa miaka 7. Mpe chakula na mfanye ajisikie salama akiwa karibu yako
 
Kuna dem nampenda ila ananizingua nishaur Mkuu

Mkuu hujawa wazi anakuzingua namna gani, lini ameanza kukuzingua na anakuzinguaje. Definition ya kuzingua inatofautiana naona ya mtu na mtu hivyo ukifunguka naweza jua nikushauri vipi kulingana na situation yako
 
Nikimwambia siwezi kua nae analia kutwa nzima na analala kazini, ananitext kwamba nimvumilie yeye haoni mwingine pasi na Mimi atajiua au atafanya lolote awezalo ili mwenzake akose pia
Ooh mkuuu kumbe wa songeaaaa piaaa tupo went humuu,, mm mfaranyakiii WAP ww
 
Nikimwambia siwezi kua nae analia kutwa nzima na analala kazini, ananitext kwamba nimvumilie yeye haoni mwingine pasi na Mimi atajiua au atafanya lolote awezalo ili mwenzake akose pia

Okay,
Kwanza kupendwa ni Jambo la kheri sana hasa mwanaume anapopendwa na mwanamke na kutamkiwa kama ilivotokea kwako. Sasa kikubwa hapa ni kwamba pamoja na kukupenda we unaonyesha huna hisia naye, ila unamhurumia vile anavyolia na vitisho anavyotoa kwamba atajidhuru iwapo hutakuwa naye.
Sasa kuwa na mtu usiyempenda ni mtihani mkubwa ambao ni busara kuukwepa maana madhara yake ni makubwa kuliko vilio vya huyo binti kwa sasa.
Una mpenzi kwa sasa na inaonyesha mko vizuri kwenye mahusiano yenu, then unatakiwa uomuonyeshe huyo mwingine kwamba kwako hakuna nafasi ya mtu mwingine. Usimpe ishara za kuhisi huenda akafanikiwa Bali kuwa na msimamo ambao hata yeye atauogopa. Inaonyesha kuna na hali unaionyesha ambayo inampa matumaini kwamba huenda akafanikiwa ndio maana anadiriki kutoa hivyo vitisho.
Ukiona huwezi kuhandle hii situation mwenyewe basi mshirikishe mwenza wako (Sio nzuri sana ila inaweza kusaidia)

Ushauri wangu “Usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa”
 
Thanks mzee Jr, ngoja nianze kupiga chepuo Hilo swala
 
Na ikitokea huyo mwanamke kajiua kweli?
 
Na ikitokea huyo mwanamke kajiua kweli?

Kwanza kutishia kujiua ni kosa la jinai, na kama itatokea amejidhuru kweli basi huyu ndugu atapata msukosuko Kidogo wa kuisaidia polisi. Ushauri wangu ni kureport polisi ili huyu msichana asaidiwe maana hicho ni kitendo kitendo kinachohitaji usaidizi wa kitabibu (Psychiatrist case)
 
Aisee jamaa ajitahidi kubalance mambo asije ingia matatani
 
Unaweza kunipa ushauri ili niweze kuishi na mbwa wangu vzr?

Yaani kuna uzi nilitaka kuanzisha kwa ajili yako ila nikaghairi.

Back to the topic nimekumbuka kipindi niko mdogo nilivokua nacheza na mba wetu, hata ukichoka atakufukuza tuu muendelee kucheza. I really miss those days.

Dogs are good friends.
 
Mimi sitaki uzi nataka unipe mzigo huo tu jamani
 
Huyu mpenzi wangu nampenda sana ila ana wapenzi wengi( huwa naikagua simu yake), nimejaribu kumuacha mara nyingi nimeshindwa, hatuishi pamoja ila tuna malengo, nifanyeje ili niachane nae maana nimemchoka kwa tabia yake ya uzinzi
 
Yaani kuna uzi nilitaka kuanzisha kwa ajili yako ila nikaghairi.

Back to the topic nimekumbuka kipindi niko mdogo nilivokua nacheza na mba wetu, hata ukichoka atakufukuza tuu muendelee kucheza. I really miss those days.

Dogs are good friends.

Madam hope uko salama, kucheza na mbwa hakuna age so you can still play with “German Shepherd”
 
Back
Top Bottom