FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 947
- 669
SIYO POINTS 7....NI POINTS 8 yani DCC kwenye PCB...Mara nyingi huwa Udaktari wanataka point 7,ushindani Ni mkubwa,jitahidi usome mwongozo vizuri,ila pale Sua kuna kozi nzuri pia.
Nitumie alama zako nione ili nije wapi unafit
atleast upate div one point 3-7brother muhas kupata md atleast upate point ngap kulingana na ushindani uliopitia
Angalia SUA kule.Naomba ushauri, nimepata division three ya 13, PCB Nina physics E, chemistry D, Biology D, Bam&Gs F, nina uwanja wa kusoma program zipi na kwa vyuo VIP, msaada please, nimehitimu mwaka huu
ShkraanAngalia SUA kule.
Msaada pleaseAngalia SUA kule.
ICT ni maswala ya information and communication technology..utajifunza vitu kama networks, databases , internet programming nk.naomba msaada ICT and programing engineering inahusiana na nn