Natoa rai kwa wanaomtumia Dr. Benson Bana wa UDSM kutoa analysis za kisiasa

Jeshi la polisi muwapi,huyu haswaaa ndiye anayepaswa kukamatwa.

Maana uchambuzi wake unachochea uvunjifu wa amani.
 
Bana, wala siwezi mwita Dr kwa analysis zate.... waswahili husema ukitaka jua ujinga wa mtu mpe nafasi aongeeee
 
Hivi mbona mna hangaika! Huyu ni kada ngangari wa ccm aliyejicha UDSM! Hana msimamo katika hoja zake, leo anasema hivi kesho anasema hivi. Inasemekana ni mmoja wa wa washauri wa jk. Binafsi cjamkubali huyu anayeitwa msomi huy u wa udsm!
 
Toeni comments zenye logic si lugha kali ya matusi vile vile msomi siku zote lazima ukubali mitazamo tofauti hata kama haiwafurashi wote''(Prof. Shivji - Kigoda cha mwalimu
huyu mwacheni kwani ni juzijuzu ilikuwa mwal mkuu wa msingi huko bk vijijini
 
Huyu Dk Benson Bana labda ni professor wa kuropoka tu. Hiyo PhD yake labda ni ya kusema uongo. Shameful prof.
 
huyu jamaa cmkubali, cjui ni lini hawa tbc wataacha kumtumia, au bei chee nn!, tafiti za kujipendekeza tu ndo anazotoa hadharani!
 
huwa napata shida kuamini udaktari wa huyu bwana huwa nawadharau hata wanaomuamini jamaa ni biased alafu ni mnafiki yuko tayari kufanya chochote kumfurahisha mtawala wataalam wa aina hii hatuwahitaji shame on you bana
 
Back
Top Bottom