sijaelewa kabisa wengine masematiks ilikuwa janga nieleweshe basi
Nimeongea naye anasema riba ni 50% na kurudisha mwiso ni 2 months na mkopo hauzidi laki5.
Piga Simu 0712868178
Huyu jamaa anaonekana anazingua, ok mim nakopesha kwa riba ya 20%, dhamana ni kadi ya gari lako, mkopo kwa sasa hauzidi laki tano. Najua jinsi mikopo ilivyo na usumbufu mana hata mim nliwahi taka mkopo humu ndani