Hakika.
Kwa kukudokeza, nilikuwa napata shida kufahamu Text Editor nzuri.
Nimetumia Notepad, Notepad++, Sublime Text, nilikuwa mbioni kuanza kutumia Brackets.
Kutokana na bandiko lako, nimepata kuifahamu Visual Studio.
Nimeifuatilia zaidi, inaonekana ni nzuri sana.
Again, ahsante sana mkuu.