Natoa Huduma ya Printing

Natoa Huduma ya Printing

shine92

Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
10
Reaction score
2
Habarini za asubuhi wapendwa.

Mim ni graduate wa chuo mwaka huu. Nimeamua kuwa mjasiriamali huku natafuta kazi pia. Nimeanzisha office ya printing na ninasom machn..

So nahitaji mtu wakufanya naye kazi kwa kutafuta na soko na kuprint..

Thanks in advance.
 
Habarin za asubuhi wapendwa.
Mim ni graduate wa chuo mwaka huu nimeamua kuwa mjasiliamali huku natafuta kaz pia...nimeanzisha offc ya printing na ninasom machn..
So nahitaji mtu wakufanya naye kazi kwa kutafuta nasoko na kuprint..
Thnx in advanc

Wee graduate unafikiri maelezo hayo yanatosheleza kulocate ilipo biashara yako,kualika wateja na kupata mfanyakazi?
 
NkyaH nipo dar kitunda
Na namba zangu hzi 0659741124
 
Last edited by a moderator:
Horseshoe Arch yawezkan kwel hayajitoshelz bt cnt explain all ila kama kunakitu unataka jua uliza tu hapo thn mimi ntajibu
 
Habarin za asubuhi wapendwa.
Mim ni graduate wa chuo mwaka huu nimeamua kuwa mjasiliamali huku natafuta kaz pia...nimeanzisha offc ya printing na ninasom machn..
So nahitaji mtu wakufanya naye kazi kwa kutafuta nasoko na kuprint..
Thnx in advanc

Ndio uwezo wako wa kujieleza ulipoishia hapo hivi ni kweli graduate wewe ?.

Kwenye mitihani ulikuwa unajieleza kwa kuandika maandishi kama unamuandikia mchumba wako kama hivyo kweli ?.

Are you serious with what you are doing ndugu yangu ?.

Tangazo la biashara unafaham linahitaji contents gani muhimu kuweza kumfikia na kumvutia mteja ?.

Kuna mapungufu mengi sana ambayo usipoamua kuchukua hatua ya kujirekebisha itakunyima fursa nyingi ambazo ungeweza kuzipata ila nakutakia KILA LA HERI.

NI USHAURI TU.
 
Asante
 
Horseshoe Arch yawezkan kwel hayajitoshelz bt cnt explain all ila kama kunakitu unataka jua uliza tu hapo thn mimi ntajibu

Sitaki kuamini kwamba umefungua biashara ya kudurufu makaratasi kitunda,sio kwamba naushusha hadhi mji wetu maarufu kwa uzalishaji wa mayai ila nahoji ulikopata hyo business plan!
 
Sitaki kuamini kwamba umefungua biashara ya kudurufu makaratasi kitunda,sio kwamba naushusha hadhi mji wetu maarufu kwa uzalishaji wa mayai ila nahoji ulikopata hyo business plan!

Mkuu biashara ni popote tu unapoona kuna fursa unaitumia kule kuna watu wanaishi na pia kuna ofisi na mashule pia ni uamuzi wake ulitaka na yeye atotoleshe mayai kiongozi.
 
Kama ningekuwa wewe ningeanza na salamu kwa wanajamvi kuenzi utamaduni wetu ukizingatia wewe ni mgeni humu kwa maana umejisajili jana! Baada ya uungwana huo ungeeleza ya moyoni kwamba umehitimu chuo mwaka huu kwenye fani uliyohitimu na ngazi uliyohitimu ili kama kuna mtu mwenye nafasi ama anayejua nafasi kwenye taasisi yenye uhitaji wa mtu wa taaluma uliyopitia akupe chepuo. Bbaada ya hilo ndipo uweke wazo lako la pili la uamuzi wa kuanzisha biashara ya kudurufu makaratasi na kuuza vifaa vya elimu huenda,baada ya hapo unatoa ramani ya eneo ulipoweka biashara yako ili uwarahisishie wadau watakaopenda kukuunga mkono! Ni ushauri tu ndugu Graduate
 
Sitaki kuamini kwamba umefungua biashara ya kudurufu makaratasi kitunda,sio kwamba naushusha hadhi mji wetu maarufu kwa uzalishaji wa mayai ila nahoji ulikopata hyo business plan![/QUOTE

Nikwamba hata watu wengi wanao fanya printing kariakoo unakuta sehm ya kufanyia shughuri ipo mahili pengine kwasababu ni vigumu kupata eneo kubwa kwa uendeshaji wa kazi na kuweka mashine unless kwa wale wanaofanya manual zaidi...so nipo kweny mchakato wa kutafuta eneo ambapo itakuwa rahisi kupata wateje bt kazi zitafanyika sehm nyingine kwasababu cost pia zinakuwa juu na kama nilivuosema ndo nimemaliza chuo so sina mtaji wa kuinvest kwny mjini ila nipo nalifanyia kazi kwasababu nimekutana na changamoto nyingi.
 
Printing yangu nimebase kweny t shirt..vikombe..sahan..table mates..key holders
 
Una print vitu gani mkuu...weka vitu unavyo print ili tuweze kukutafuta kulingana na hitaji la soko.

Unge fuata ushauri wa wadau nazani ungefanikiwa lengo lako kwa wepesi zaidi...All the best.
 
Una print vitu gani mkuu...weka vitu unavyo print ili tuweze kukutafuta kulingana na hitaji la soko.

Unge fuata ushauri wa wadau nazani ungefanikiwa lengo lako kwa wepesi zaidi...All the best.

Naprint t shirts, mug,plates,keyholders,table mates
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom