Natoa huduma ya Clearing and forwading Dar es salaam

Natoa huduma ya Clearing and forwading Dar es salaam

Joined
Aug 10, 2014
Posts
19
Reaction score
2
Habari njema kwa JF members.

Nafanya kazi ya kutoa mizigo ya bandari (importation) na usafirishaji (exportation) na pia kuanzia magari na kuyatoa bandarini naitwa Fredrick Mrema namba zangu ni 0652489648 incase una swali uliza nitakujibu kwa ufasaha pia unaweza kunipata kwa linkedn Fredrick Mrema na Skype fredrick.mrema1 karibuni sana kwa huduma nzuri za dar port assistance.


Fredrick Mrema (0652489648)
 
Gharama za kusafirisha konteina moja kwenye meli kutoka bandari ya dar es salaam kwenda bandari ya Mombasa ni kiasi gani? contena likiwa na mazao kama mahindi, au maharagwe, mashudu au dagaa n.k

swali la pili, meli ikitoka dar inatumia siku ngapi mpaka Mombasa, tatu wewe kufanya huduma zote mpaka conteina litoke bandarin malipo yake ni kias gan.
 
Ok kusafirisha hapa mpaka Mombasa huchukua siku 2 maximum na pia bei yake inategemea na booking ya meli na contena ya shipping pia huwa natoza 40ft contena 400000 na 20ft contena natoza 250000
 
Back
Top Bottom