Wakuu ninafurahi sana kuona mada mbalimbali zimekuwa zikianzishwa hapa jukwaani kuhusu ufugaji wa samaki, hii inaonesha kuwa watu wengi wameanza kuelewa ufugaji huu na wamekuwa interested kwenye kufuga samaki.
Mada nyingi zilizopo humu zimekuwa zikitoa mwanga kuhusu kufuga samaki, lakini nyingi zimekuwa zipo kinadharia tu na hazielezei the real situation within fish farming on the field, main oppotunities and challenges katika mazingira yetu as well as value chain in fish farming.
Hvyo basi nimejitokeza hapa kuwasaidia wote walio serious na ufugaji wa samaki kwani ni biashara nzuri ambayo watu wengi hawajaielewa. Kwa yeyote mwenye kuhtaji anipatie contact zake ili nami nimpatie zangu tuwasiliane vizuri kwa ajili ya kazi hii.
N.B:
Nimehitimu shahada ya kwanza ya uzalishaji viumbe maji ( B.Sc Aquaculture ) kutoka SUA, pia ninahold Advanced Certificate ya Entrepreneurship and Business Planning kutoka MEBTI.
Kwa sasa najishughulisha na consultancy in fish farming and business planning kuhusu kilimo na mifugo.