Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
Hapa kuna mambo kadhaa
1. Either wameshaanza mchoka huyu ombaomba ambaye kila siku anaomba omba kwa wanaume zake.
2. Wanaigopa Urusi maana Urusi akivinasa hivi vifaru basi itakua hasara kwao.
3. Wameona deni la Ukraine limekua kubwa na hawataweza kulipa!
My take: Huu mzigo wa madeni wa Ukraine nani ataulipa?
Source: No Leopard tanks for Ukraine as NATO allies fail to agree