countries foot the bill for the war. The bill rises to $ 480 billion.[equivalent to 50 years of petrol]
Hii kali,niliwauliza washabiki kuwa kama wana uhakika pesa za walibya zitakuwa salama.Wako wapi?
Nani ana uhakika kama hiyo miaka mitano hizo pesa zitakuwa zinafanya nini kwenye uchumi huu?
Nani anajuwa kuwa wataruhusiwa kuwa stable kama ilivyokuwa pre Gaddafi?Wale wahuni kwenye video ya Gaddafi wata wa hunt waliya masiha yao yote kama haya ndo matokeo.
Na bado....
Hawalipi yote kwa siku moja mkuu. Kwanza wanajenga nchi yao, alafu wanafanya devaluation (IBRD imesha sema noti ni chache sana) alafu wanarudisha banks na uchumi sawa sawa. Only then wanaanza kujenga nchi na kulipa deni pole pole huku interest zikizidi kupanda. Na hizo 50 year kama unavo sema ni estimate tu, kufatana na mpango mzima wa marekani na NATO kujenga base Lybia. Nimeweka source hapo chini sababu najua ni pro-Gadafi media ndio imeandika kwa hivo lazima tuwe makini. Asante kwa maelezo.Hiyo data ya 50 years si ya kweli na aliyeiandika hivyo amefanya kwa dhumuni la sensitization.
1. Libya imekuwa ikipata about $90bn per year kutokana na mauzo ya mafuta.
2. Mathematically and from a fact that uchumi wa Libya unategemea entirely mafuta na gas. $480bn in 50 years ni sawa na $9.6 bn per year, hela amabayo hata bongo tukiwa siriaz kukusanya kodi tunaipata.
Yes, they do!WIZI MTUPU!!! Mkuu jamaa wameshatimiza lengo leo la kuweka kituo cha jeshi Africa na pia kuwaweka vibaraka wao madarakani. Kama sikosei pesa zote za Libya zilizokuwa katika bank accounts za nje ya nchi zilikuwa hazifiki $200 billion sasa wameshaenda kubambikwa deni la $480 Billion!!!!! Utamdai vipi mtu ikiwa hamkuwa na makubaliano naye ya awali? kwamba nitatumia pesa (sijui ni kiasi gani) halafu gharama kamili nitakuletea unilipe? hivi kule kwingine walikovamia pia walipeleka bakuli lao ili walipwe gharama zao walizoingia katika uvamizi ule!!!?
Yes, they do!
Mkuu BAK,WIZI MTUPU!!! Mkuu jamaa wameshatimiza lengo leo la kuweka kituo cha jeshi Africa na pia kuwaweka vibaraka wao madarakani. Kama sikosei pesa zote za Libya zilizokuwa katika bank accounts za nje ya nchi zilikuwa hazifiki $200 billion sasa wameshaenda kubambikwa deni la $480 Billion!!!!! Utamdai vipi mtu ikiwa hamkuwa na makubaliano naye ya awali? kwamba nitatumia pesa (sijui ni kiasi gani) halafu gharama kamili nitakuletea unilipe? hivi kule kwingine walikovamia pia walipeleka bakuli lao ili walipwe gharama zao walizoingia katika uvamizi ule!!!?
Kwa kweli mi namlaumu Gadafi kwa kitu kimoja (well, ni vingi ila hiki ndio zaidi): Kwa nini haku-step down mapema? Maana angefanya hivo bado kulikua na possibility ya kujenga strong opposition na kuuliza maswali ya maana. Nchi hainge bomolewa (NATO and his own troops) na people wouldn't have been killed...
Najua aliogopa legal repression ila naamini kulikua namna ya kuendelea kuisaidia Lybia kwa njia mbali mbali.
Ona Egypt... wamemtoa Mubarak and put a totalitary army instead, that has no plan of organizing election, and that is still supporting the US, Israel and their imperialist methods. Huku maisha ya kawaida ya mmisri hayakubadilika hata kidogo. what's next now?
Mi nadhani alipenda kuilinda reputation yake zaidi kuliko nchi yake. Basi angahakikisha anaacha succession nzuri, ya watu na institutions zitakazo pinga the new capitalist regime. 20 000 foreign troops occupying a sovereign country and exclusive contracts to 'donors'? I think it is his fault, in one way or another kwa kweli.Nadhani alichukuwa uamuzi bora kwani historia ita mlinda.
Ukweli asingekuwa na ile revolutionary spirit,basi angeweza tu kwenda London na kutulia kula raha kama Musharaff.
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini mwalimu Nyerere aliamuwa kung'atuka kabla ya kukubaliana na masharti ya nchi za magarabi hao hao NATO?Mi nadhani alipenda kuilinda reputation yake zaidi kuliko nchi yake. Basi angahakikisha anaacha succession nzuri, ya watu na institutions zitakazo pinga the new capitalist regime. 20 000 foreign troops occupying a sovereign country and exclusive contracts to 'donors'? I think it is his fault, in one way or another kwa kweli.
Libya inaelekea utumwani, hii nchi sasa imeshakuwa miliki ya international bankers
* Says just $1.5 bln of $170 bln foreign assets unfrozen Hizi ndio zimeshaingia mifukoni mwa majambazi ya dunia. USA, UK, France
Libya's acute cash crisis is set to get worse and its banking system requires a complete overhaul that will be guided by the International Monetary Fund and World Bank,
A NEW BANKING MODEL
He said he hoped the influence of international organizations would help shape a new Libyan model of banking, and the groundwork had already been laid by IMF and World Bank over the previous 2-3 years. ( duuh, mapinduzi ya IMF halafu kuna watu wanasema walibya walimchoka Gaddafi btw hii model ya zamani ilifanya wonders kwa nchi ya Libya..sasa wataingia madeni na soon watajikuta bankrupted by Inter. bankers)
"The IMF and WB have a roadmap and I would like to go ahead with the facelift. We need a strong central bank," he said.