Mmarekani aliwadanganya sana Ila urusi ujuwe kuanzia Leo ndio mbabe wa NATO na MAREKANI WENU TRUST TIMEHaimaniishi kuwa ni tishio kwa marekani bali ni tishio kwa Ukraine na Afrika
Yani urusi hana ubavu wowte Juu ya Nato na Nchi za kibabe kama China na kadhaa
Kutatokea Nini nami nijuze.Ogopa magharibi wakikusifia.
Haimaniishi kuwa ni tishio kwa marekani bali ni tishio kwa Ukraine na Afrika
Yani urusi hana ubavu wowte Juu ya Nato na Nchi za kibabe kama China na kadhaa
Kwani kamanda wa NATO ndiye msemaji wa NATO?? Hayo aliyosema kama ni kweli yametoka kinywani mwake, hayo ni maoni yake binafsi. Tusubiri vita iishe ndio tufanye tathmini.Kwa hiyo wewe unajua kuliko kamanda wa NATO?
Propaganda tupu.Kamanda mkuu wa jumiaya ya kujiami ya nchi za Magharibi nato amebainisha kuwa licha ya hasara iliyo ipata Urusi kwenye vita nchi Ukraine bado haionekani dalili yeyote ya jeshi lake kudhohofika.
Kamanda huyo ameendelea kwa kusema kwa sasa Urusi ina vitengo vingi vya kijeshi vyenye siraha za kisasa vilivyo tiyari kwa mapambano kuliko hata kipindi ambacho ilikuwa haijaivamia Ukraine.
Chanzo BBC swahili.
View attachment 2622411
Anasagia tu huyo, Biden juzi amesifu kazi kubwa inayofanywa na jeshi Ukraine wanataka wanajeshi waliobaki Urusi waingie mzigoni na kumalizwa malizwaKamanda mkuu wa jumiaya ya kujiami ya nchi za Magharibi nato amebainisha kuwa licha ya hasara iliyo ipata Urusi kwenye vita nchi Ukraine bado haionekani dalili yeyote ya jeshi lake kudhohofika.
Kamanda huyo ameendelea kwa kusema kwa sasa Urusi ina vitengo vingi vya kijeshi vyenye siraha za kisasa vilivyo tiyari kwa mapambano kuliko hata kipindi ambacho ilikuwa haijaivamia Ukraine.
Chanzo BBC swahili.
View attachment 2622411
Upuuzi mtupu - kukimbilia kuitangazia Dunia hasara Urusi iliyoipata katika vita hii, lakini ukimuhoji na huko Ukraine mambo yao yakoje kijeshi - hawapati hasara hata kidogo??? Wataalamu wa masuala ya kijeshi wakisema Urusi kitu ingine mabeberu wanajitia kupuuzia tu - lakini wakizidiwa kete kidogo lugha inabadirika kwamba kumbe Urusi ni mpingo - na hapo kumbuka wanao pigana ni wanamgambo wa kusini mashariki mwa Ukraine kwenye majimbo yaliyo chukuliwa na Urusi - swali hapa ni, je, jeshi la Urusi likihamua kupigana moja kwa moja patatokea nini? Si NATO/USA wote watapotezana ikawa every man for himself......Kamanda mkuu wa jumiaya ya kujiami ya nchi za Magharibi nato amebainisha kuwa licha ya hasara iliyo ipata Urusi kwenye vita nchi Ukraine bado haionekani dalili yeyote ya jeshi lake kudhohofika.
Kamanda huyo ameendelea kwa kusema kwa sasa Urusi ina vitengo vingi vya kijeshi vyenye siraha za kisasa vilivyo tiyari kwa mapambano kuliko hata kipindi ambacho ilikuwa haijaivamia Ukraine.
Chanzo BBC swahili.
View attachment 2622411
Shoga na mpiga nyeto wote wame left group[emoji1787][emoji1787] hawachekaniUrusi piga m@shog@ hao panapouma
mpiga nyeto anakojoaShoga na mpiga nyeto wote wame left group[emoji1787][emoji1787] hawachekani
Una hara ukiwa wapi?Mmarekani aliwadanganya sana Ila urusi ujuwe kuanzia Leo ndio mbabe wa NATO na MAREKANI WENU TRUST TIME