Nationalisation kama Freddie Mac/Fannie Mae Tanzania

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nakumbuka about a month ago MWANAKIJIJI kwenye thread ya Dr Masau iliyofungwa alitoa wazo Serikali yetu iwe ina bail out biashara kama vile serikali ya USA ilivyofanya na Freddie Mac and Fannie Mae. Personally i was totally against it na nikatoa sababu zangu lakini that said kama kuna mtu anaona sawa je mgependa mashirika yepi serikali iyachukue na tafadhali naomba mlete sababu za kitaalam au za kiuchumi kwa nini serijkali ifanye hivyo....badala ya sababu za kisiasa

Mwanakijiji nadhani huu mjadala utakuwa mzuri zaidi ukituletea reasons why our givt should re nationalize baadhi ya mashirika

Hope we might get some different perspectives on this subject in the wake of Northern Rock in UK mwanzoni mwa mwaka na hiii ya Freddie Mac and Fannie Mae in the states
 
kama nimekuelewa vema, sidhani kama serikali yetu inapaswa kuyachykua mashirika yoyote kwa lengo ya kuyaendesha. Sidhani kwamba hata inapaswa kuyapa mashirika hayo ruzuku kujiendesha. Sidhani kama tunapaswa kurejea kwenye enzi za serikali kufanya biashara. Inaweza kufacilitate kwa kuweka mazingira yatakayowezesha private entities kufanya biashara.
Tukumbuke kuwa ni kupitia mashirika ya umma uchumiw a nchi hii ulinyonywa sana na hadi hii leo ni kama tumebaki tumeduwaa tusijue ni nani hasa wa kumlaumu kutokana na hilo.
ufisadi mwingi unafanywa through mashirika au institutions ambazo zina mkono wa serikalindani yake, naogopa sana kuiruhusu serikali ijiingize huko tena.
 
Nakumbuka about a month ago MWANAKIJIJI kwenye thread ya Dr Masau iliyofungwa alitoa wazo Serikali yetu iwe ina bail out biashara kama vile serikali ya USA ilivyofanya na Freddie Mac and Fannie Mae. Personally i was totally against it na nikatoa sababu zangu lakini that said kama kuna mtu anaona sawa je mgependa mashirika yepi serikali iyachukue na tafadhali naomba mlete sababu za kitaalam au za kiuchumi kwa nini serijkali ifanye hivyo....badala ya sababu za kisiasa

Mwanakijiji nadhani huu mjadala utakuwa mzuri zaidi ukituletea reasons why our givt should re nationalize baadhi ya mashirika

Hope we might get some different perspectives on this subject in the wake of Northern Rock in UK mwanzoni mwa mwaka na hiii ya Freddie Mac and Fannie Mae in the states

Mkuu GT,

Unaposema Serikali ichukue kwa sababu za kiuchumi na sio za kisiasa una maana gani hasa??

Kwa kufikiria kwa haraka siona kama kuna sababu za kiuchumi za "kutosha" za serikali kujihusisha na biashara kwa namna yoyote ile.
 
tatizo timefikia tuliko kwa kuingiza politics kwenye kurun uchumi au hulijui hilo?
 
tatizo timefikia tuliko kwa kuingiza politics kwenye kurun uchumi au hulijui hilo?

Hila najua...sawa sawia na historia inajieleza yenyewe.

Ukiangalia misingi ya serikali kuitwa serikali ni siasa...sasa kusema serikali isimamie biashara bila kuwa na chembe ya siasa kwenye maamuzi sawa na kupanda kunde halafu utegemee kuvuna mahindi.

Kwa maoni yangu...Watu wengi huwa wanakuwa na mtazamo wa kuona serikali ijihusishe kusimamia biashara hasa zile zenye kutoa huduma kwa jamii. Lakini maamuzi hayo yanapotolewa huwa yanatolewa kukidhi malengo/ mahitaji ya kisiasa zaidi kuliko uchumi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom