RAY DONOVAN
Senior Member
- Jul 2, 2015
- 153
- 145
Inabidi tuwe na mipango ya kujenga uwanja mkubwa wa ndege kama huo nje ya mji wa Dodoma kwa kuangalia mika 50 ijayo.
Commander in Chief wetu NDUGU MAGUFULI wenyewe wanamwita MR INFRASTRUCTURE ambaye number 1 obsession yake ni haha mambo ya miundombinu lakini la kushangaza hatujaona any ambitious plans ambazo anataka kuzitimiza in 5 au kama akiweza kupita in 4 yrs time itakuwa ni 10 yrs
Ukweli ni kuwa mipango yote ya maendeleo tuliyonayo ya 5 year development plan, MKURABITA, MKUKUTA, Tanzanian Vision 2025 hayaendani kabisa na hali halisi on the ground ambayo haijaangalia ongezeko la watu (karibuni tutakuwa milioni 55), dunia inavyokwenda,na Ndugu Magu anaonekana wazi kuwa hana interest ya kufanya structural reforms na ku unleash private sector
It will be interesting kusoma na kupata mawazo ya wengine.