N mbuga za wanyama za taifa ama hifadhi za taifa, kuna eneo la hifadhi ambayo n Ngorongoro na mapori ya akiba ambayo n GAME RESERVES. Yote hayo yanatofautiana kutokana na uendeshwaji wake .ipo taasis inayoruhusu uwindaj ambayo hufanyika kwenye mapori ya akiba .ipo taasis inayoruhusu mwingiliano wa binadam na wanyamapori ambayo n Ngorongoro conservation area authority na hifadhi za taifa au mbuga za wanyama za Taifa zinakataza yote hayo kufanyika na kubak na jukum moja ya kulinda na kuuza utalii