YanguHaki
Senior Member
- Oct 11, 2010
- 129
- 9
Shirika la habari la Nation Media la Kenya nalikubali sana kwa weledi wake kwenye tasnia ya habari katika jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ninachoshangaa ni kwa nini hatuna TV inayomilikiwa na shirika hilo hapa nchini kama Kenya na Uganda . Ombi maalum kwa Tido Mhando ni kutuhakikishia kuna kituo cha TV ambacho kitaleta mapinduzi katika uendeshaji wa vituo vya TV hapa nchini.