- Thread starter
- #41
Ni kweli tupu.Anatakiwa aonane na Wajumbe kwanza. Wajumbe si watu wema
Ni kweli tupu.Anatakiwa aonane na Wajumbe kwanza. Wajumbe si watu wema
Wahi sasa.ngoja nianze kutafuta mshono
Acha utani bwana, sijaandika hii topic ili niwafurahishe watu.Itabidi usubiri mwingine,huyu tayari nishamiliki
Aongeze ongeze miakaDaah uzee huu umenikosesha mume
Dada hivi single mother nimtu waaina gani sielewagi hapo naomba unielewesheSingle mother tuna changamoto
Aliezalishwa kisha mwanaume kumtelekeza au kushindwa kuishi pamoja na kumwachia mwanamke mtotoDada hivi single mother nimtu waaina gani sielewagi hapo naomba unieleweshe
Ok hapo sasa nimeelewa kipenziAliezalishwa kisha mwanaume kumtelekeza au kushindwa kuishi pamoja na kumwachia mwanamke mtoto