Kuna Mtu Mtaani Kwetu Mwanae Kanunuliwa Pikipiki Mpya Basi Watoto Wa Makabwela Wakigusa Toyo Tu Huyo Dogo Anawagonga Kwenzi La Kichwa Mpaka Unaona Vibaya.Baba Mtu Nae Watoto Wakijaa Kwa Rafiki Yao Wanafukuzwa Kama Mbwa.Tofauti Ya Maisha Ni Mbaya Sana