Ifike Wakati Ukue Si Kila Kitu Ni Utani Kama Umekua Sana Ungekua Marehemu Saivi Maana Hata Dunia Ungeizidi
Muimbie vesi yoteeendugu yangu tamaa mbayaaaa tuliza moyo wakoooo
Muimbie vesi yoteee
Uko sahihi mtamaniji, kazi ya Mungu haina makosa, kutotamani ni kumkosoa.
pole sam love,,kwa nini unatamani tu maungo??? Kwa nini usitamani ma vogue na ma range rover ma vitu makali makali ya kimaisha??
Kwa nini usitamani mijengo mikali ujenge wako???
Embu elekeza tamaa yako kwwenye maendeleo
kabla sijakushauri hili una galfriend???
Shaabash,
Wakuu Nawasalimu,leo Naomba Mnishaur Jambo Wakuu,ninasumbuliwa Na Tatizo La Tamaa Tena Si Za Kawaida Ni Za Kiwango Cha Juu. Yaani Akipita Dada Kavaa Kasurual, Au Nguo Inayomchora Maumbile Namtamani And Sipendi Tabia Iyo Ya Tamaa,namshukuru Mungu Naishiaga Tu Kutamani Ila Sipendi Tabia Iyo Kwakua Ni Dhambi Na Napenda Niwe Mtu Wa Mungu Jamani Nifaneje? Naomba Ushauri Wenu Kwakua Najua Hapa Ni Maali Sahihi Ndugu Zangu, Mimi Sijaoa Bado Na Umri Wangu Na Nilivojipanga Ni Hadi 2018 Je Nifaneje Kuepukana Na Tamaa?
KOKUTONA lara1 Mentor Kiranga masai dada Evelyn Salt Husninyo Na Wengine Nishaurin
hapana bado girlfriend sina, unajua tabia hii inanikera sana ila sijui nifaneje nadhani ushauri wako ni wa muhimu