Nilienda hospital maana nilikunywa maziwa sana but hayakufua dafuukatumia nini kuondoa hiyo hali?
Hivi unajua kuna baadhi ya dawa ukizinywa pamoja na maziwa ndio unazidi kuzitengenezea mazingira mazuri ya ufanyaji kazi mwilini? Mfano ALU ya malariaNilienda hospital maana nilikunywa maziwa sana but hayakufua dafu
Tatizo bora ingekuwa rashes pekee .. ninge vumilia. ratizo naumwa viganja ya mikono na unyayo wa miguu siwezi kuweka miguu chini wala kishika kitu.. mikono ina uma mofupa sanaUna allergy na Dawa zinazocontain sulphur so cha Muhimu stop kutumia hiyo dawa na Usitumie dawa zenye sulphur ukitoa hiyo kuna metakeplhin.!! Badilisha dawa anza kutumia ALU. Hizo rashez zitaisha tu zenyewe dawa ikiisha mwilini pole sana.
Hata sikulijua hiloHivi unajua kuna baadhi ya dawa ukizinywa pamoja na maziwa ndio unazidi kuzitengenezea mazingira mazuri ya ufanyaji kazi mwilini? Mfano ALU ya malaria
Daaah alaf baada ya metakelfin kunizingua nikaswitch kwa maläfin kumbe zote jau itabidi nitumie ALU tuUna allergy na Dawa zinazocontain sulphur so cha Muhimu stop kutumia hiyo dawa na Usitumie dawa zenye sulphur ukitoa hiyo kuna metakeplhin.!! Badilisha dawa anza kutumia ALU. Hizo rashez zitaisha tu zenyewe dawa ikiisha mwilini pole sana.
yeah ni metakelfin nlishawahi meza kipindi fulani nliona napaa naenda kuzimu... ziliniyumbisha kinoma😵 nikapitiwa na usingizi mzito sana😴 kuja kuamka sofa limeloa jasho si la kawaida!Hata Metakelfin zilishapigwa marufuku Marekani. Niliuliza wakasema eti zina athari mbaya kwenye ubongo na moyo. Ilibidi kuzitupa. Ila sisi huku Afrika jalalani kila kitu tunatwanga tu!