Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

Miushaur yote ushapewa dada sasa ni ww kuifanyia kazi ila huu wa kua mkaushie ata kama moyo utauma but asipotuma sms asubuh nawe piga kimya , sku ya kwanza yapil kma yatatu hajakutafta wala usje kujisumbua sjui ufanyie nin na nin we sema na moyo wako ingawa si kitu rahis ila its possible cos i have done it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK

Sipend nijulikane ila ww inabidi tu nikutumie picha tangu tu unifaham maana leo Mara ya 3 unanituhum hiki kitu..na kupm picha yangu

Sasa nimegundua kwann mpenzi wako anakulia jiwe, bora aendelee kukaza hivoivo hakuna namna.
 
M
Miez 2
 
Everyone is busy,buy it depends with the position you are in someone's life to give you a priority..and chances
 
Penzi lao lina umri wa miezi miwili tayari kunawaka moto,kama ni mtoto hata kushika nyonyo hawezi. Hapo kuna mmoja lengo lake lilikuwa kutimiza haja za mwili wake,mwingine akaingia mzima mzima
 
Inaitwa funua kata funika,Hamna kitu hapo. Na kama Ndio alimletea nyodo mpaka akakupata,since when he fuc.k her that's the end of the story. no love,no more.
 
Creativity.... Fanya kitu kesho akukumbuke....

Do different things differently.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…