Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

Simu zimekuja Juzi tu..
Ulishawahi kutenga muda na kwenda kumuona mara kwa mara. Hiyo ndo ingekuoa uhalisia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
how old a u???
 
hawa wanaume hawadhaminiki hawa ni swa na jiwe tunasemaga hawependeki jaribu kujikeep busy na shughuli zako yy mfanye wa dharura mtaenda sawa usijifanye kama inzi kufia kwenye kidonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpenzi, unakusudia mume ama kipozeo?
 
Mpe vitu vipya atakutaka tu. Tatozo lako ni kuwa mpenzi wako hakumiss. Kuwa mbunifu kwene mahusiano yenu. Atakumiss na atakutafuta kila mara hadi utauona anakusumbua
awe mbunifu tu ,
ulishawahi kufatiliwa na mpenzi kila sehemu unayoenda???
ukiongea na cm, bahati mbaya kapiga Ndo kakuta inatumika unakesi ya kujibu,
ukiaga naenda sehemu, ni unanyimwa??
kuwa mbunifu,
vaa pendeza mda wote, kula vizuri, kunywa maji mengi, usimuwaze kiasi cha kukonda ukapoteza mvuto, Na yeye akaenda tafuta wenye mvuto.
kikubwa jipende ww kwanza, wewe ni wathamani sana
 
Mai, hyo inatokea sana ktk mapenzi...na km mmekuwa kwa muda fulan ktk mahusiano pengne amekuchoka lkn hawezi kukwambia. Na ukitaka kujua haupo ktk akili yake we acha ucmpgie cm km unavyofanya sasa, mnaweza kukaa ht cku kadhaa hajakupgia japo najua maumivu utayapata ww kw kuwa ndy unaependa zaidi(infatuation). Mapenzi huwa hayana sababu, ila kwa wengi wetu mapenzi yana sababu ila tunasahau sababu yaweza kuondoka kwa mtu kwa kuwa ni binadamu bas hapo hata kile kilichofanya umpende hukioni tena. Mfn, Km alikupendea guu la bia, waweza pata ajali ukakatwa mguu, km ni sura nzuri waweza pata ajali ikaharibika, km kazi nzuri waweza kuipoteza, km ni utajiri waweza filisika, na mambo mengne mengi ambayo yana mwsho. Mahusiano yakishafiki hali hyo hakuna namna ila ni mwny hekima kujiweka pembeni labda iwe ni ndoa. Nakushauri anza kumtoa akilini taratibu kwa usalama wa moyo wako, vngnevyo unatafuta maradhi na mambo mengme ya ajabu! Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana bibie
 
Ukiona hivyo ujue kuna tatizo LA msingi, umeshaongea nae kwanza kabla ya kuleta malalamiko yako hapa? Kwa wale waliosoma physics tunajua Newton First law of Motion..tafsiri Yake hakuna kitu kinaweza kutoka sehemu moja hadi nyingine bila kuwa na msukumo wa nje! Kwa hiyo na wewe mjiangalie, haya mabadiliko yana sababu na ukizijuwa ndo itakuwa suluhu au amani yako. MNA muda gani tokea muingie kwenye hayo mapenzi?
 
OK

Sipend nijulikane ila ww inabidi tu nikutumie picha tangu tu unifaham maana leo Mara ya 3 unanituhum hiki kitu..na kupm picha yangu
We ni muoga sana
Sasa huyu unamtumia pc yanini km unalo si unajijua
Usitetereke kwa vitu vidogo inabidi uwe strong, hata ingrkua huna usijiwekee boundaries mwenyewe
Pamona na hiyo lazma una qualities nyingi zinazoitngeneza package yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibie hapo wewe utakuwa ni sub kwake, mwenzio ana first eleven wake, so jiongeze

sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
 
Pole sanaa, unamda gani kwenye hayo mahusiano? mwanzo ilikua kuwaje? mnatoka out kama wapenzi? unapokua nae anajisikia furaha kua na wewe au? ameshawahi kukukwambia kitu chochote amabacho huwezi kukisahau kizuri? mnapo kua pamoja mkichanana ana make sure umefika nyumbani au mkisha achana mpaka wewe ndio mpigie kumwambia umefika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…