Natengeneza web application(PHP&MYSQL) kwa ajiri ya final year project za IT

NetworkEngineer

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2012
Posts
1,974
Reaction score
1,210
Kwa wale walio na tatizo kutokuweza ku implement system zao, mim ni PHP programmer hivyo, natengeneza web applications(systems) kwa gharama nafuu. 0768277927
 
Nataka website yenye Link na Paypal na Mastercard/Visa kiasi kwamba ntakua nawauzia watu bidhaa zangu mtandaoni
Je umewai fanya kazi kama hii
na je unacharge bei gani?
 
mkuu haya makitu sijawahi fanya hebu niichukue kama changamoto, nikajifunze mambo ya paypal na e-commerce kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom