SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,947
- 2,033
Niko UDOM mwaka wa kwanza,nachukua degree ya fizikia,ninapenda mambo ya utafiti na ugunduzi wa sayansi.
Kwa sasa nina mpango wa kutengeneza ndege itakayoweza kupaa,na pia nimewahi kutengeneza FM transmitter na ikafanya kazi umbali wa mita 200 nusu kipenyo.
Nipeni ushauri watanzani wenzangu maana nina malengo na projects nyingi za kisayansi.
Hapo kwenye bold unatakiwa uwe mkali sana kwenye aeronautics kitu ambacho sidhani unacho.Soma soma zaidi ili kwenye mwaka wa tatu ufikirie mambo ya ndege.Niko UDOM mwaka wa kwanza,nachukua degree ya fizikia,ninapenda mambo ya utafiti na ugunduzi wa sayansi.
Kwa sasa nina mpango wa kutengeneza ndege itakayoweza kupaa,na pia nimewahi kutengeneza FM transmitter na ikafanya kazi umbali wa mita 200 nusu kipenyo.
Nipeni ushauri watanzani wenzangu maana nina malengo na projects nyingi za kisayansi.
Mkuu hatumkatishi tamaa tunajaribu kumpa namna bora ya kufikiri. Kubuni na kuunda kitu kumerahisishwa sana siku hizi, unaweza ukaunda ndege na ukairusha Dar - Mwanza kwa kutumia program za kompyuta tu. Hivyo ana mengi ya kujifunza ili kazi yake iwe rahisiKijana endelea wazee tupo.
Nakushauri:
Lazma ujiamini kwa kuwa wewe ndiye aliye na the right vision ya unachotaka kutengeneza.
Lijue vizuri wazo lako.
Ili uwe na uhakiki wake iweke/chora kwenye karatasi vizuri na hapo walio na ufahamu wa unachokifanya watashauri.
Usikatishwe tamaa na yeyote kwa kuwa baada yako, hakuna aliye na mawazo yako.
MUNGU akusaidie.
Niko UDOM mwaka wa kwanza,nachukua degree ya fizikia,ninapenda mambo ya utafiti na ugunduzi wa sayansi.
Kwa sasa nina mpango wa kutengeneza ndege itakayoweza kupaa,na pia nimewahi kutengeneza FM transmitter na ikafanya kazi umbali wa mita 200 nusu kipenyo.
Nipeni ushauri watanzani wenzangu maana nina malengo na projects nyingi za kisayansi.
Niko UDOM mwaka wa kwanza,nachukua degree ya fizikia,ninapenda mambo ya utafiti na ugunduzi wa sayansi.
Kwa sasa nina mpango wa kutengeneza ndege itakayoweza kupaa,na pia nimewahi kutengeneza FM transmitter na ikafanya kazi umbali wa mita 200 nusu kipenyo.
Nipeni ushauri watanzani wenzangu maana nina malengo na projects nyingi za kisayansi.
Weka video tujadili wakati tunaona kilichopo
Kwa kuwa huyu mtanzania bado hajaunda ndege basi tujadili ya huyu mkenya aliyejaribu
https://www.youtube.com/watch?v=pi2ojuhTJ0Y