Natengeneza na kuuza Masweta, baby suites na scarf

Hongera sana mkuu Mungu akutangulie katika mradi wako na akuepushe na figisu figisu za hapa na pale
 
Hiyo mashine mpaka ishikiliwe,au ndio biashara matangazo?.Anyway hongera sana kwa kuthubutu,umeamua kuendeleza utaalamu wako kwa manufaa yako na familia kuliko kuwatumikia makanjibai kwa ujira mdogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom