Natengeneza Logo za Makampuni na binafsi

hii logo ni sample yaan bado ipo jikon haijafanyiwa finishing au ipo teal kwa matumizi

sijaiva sana kwenye graphics maan ndo kwanza 2 febru ndo namaliza mwaka lakin kwa maono ya jicho langu kwenye huu upande wetu wa graphics kaka mi nakushauli endelea kujifunza maana logo inamatatizo mengi sana hii
 
Halafu Bei kubwa
 
nipe one week ntengeneze logo kama hii ya mss kwa kuwa info zote zipo apa ntatengeneza nije n
Halafu Bei kubwa
nisijue zaid lakin sisi watu wa graphics tunatabia ya kutuma mifano ya kazi zetu bora kabisa ili kushawishi wateja na kudhihilisha uwezo katika kazi sasa kama mtu anatuma kazi mbovu ivi inamaanisha uwezo mdogo bado so kwa hiyo bei honest atawapata wa mbwinde ndani ndani huko wasiojua kutumia hata simu janja maana hii logo unaweza tengeneza hata kwa simu

upuuzi
 
divanology, Nimetoa huo ni mfano wa Logo ndio niliotoa hapo ila ukitaka kutengenezewa ndio nakaa chini nakuuliza wenyewe unataka logo yako iwe vipi na ni kwa matumini gani

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa uwezo uliouonesha wa kutubandikia bango kisha ukaliita logo inaonesha wazi kunawalakini katika kazi zako mimi nikushauli tu ndugu yangu jipe hata miezi 6 ya kufa na kupona kujifunza kutengeneza logo tu alafu ukijiona umekwiva ludi kutazama hichi kituko chako apa unachokiita logo ya kukutangazia jina na kuvutia wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…