Natazama kipindi cha "Hello Mr. Right" cha MC gharab Bongo TV

Natazama kipindi cha "Hello Mr. Right" cha MC gharab Bongo TV

Samcezar

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
13,093
Reaction score
22,806
Hiki kipindi kinafurahisha na kuburudisha. Kinachonifuarahisha ni namna wadada wanavyochagua wanaume kwa sifa za kipuuzi kama Urefu, mara rangi ya ngozi na kadhalika.

Wadada wanataja sifa fulani akija muhusika anaeonyesha kuwa na vigezo fulani watamkataa kwa vijisababu.

Ni kipindi ambacho kinaonyesha jamii jinsi mabinti zetu wasivyojua wanachotaka.

Au pengine wanaume wanaokwenda wanashida somewhere ambazo mimi kama mwanaume ninafeli kuziona hizo dosari ambazo wanawake wanaziona.

Ila sijaona wananyooshaje matakwa yao sababu wanaonekana kujistukia sana kuchagua wanaume na pia hawajui wanataka nini. Ni kama wanataka vigezo vyote ndani ya mwanaume m'moja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom