Natauta mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natauta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by jaridotcom, Jan 31, 2012.

 1. jaridotcom

  jaridotcom Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani Habarini zenu wanajamiii mm ni mgeni hapa jamvini,mm ni kijana (mvulana) mwenye miaka 29 ninaelimu ya Chuo (Single Degree) na tayari nimeshaajiliwa nafanya kazi ila katika maisha yangu naona nimepungukiwa na mke mwema kwa hiyo natoa fulsa kwa Binti mwenye sifa zifuatazo...Awe na Elimu kuanzia 4m 4 na kuendelea awe mkiristo,awe na umri chini ya 25,kama hajaajiriwa awe na uwezo wa kusimamia Biashara (awe mjasilia mali),zaidi ya yote awe na mapenzi ya kweli na mengine tutayamalizia tukikutana ana kwa ana.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Miaka 29 sio mvulana bana ni mwanaume, au bado hujakua upstairs?

  Nwy Biashara ya kusimamia ipo tayari?
  Hamna vigezo vya tabia na muonekano?
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  vipi, kubali hiyo offer!
   
 4. jaridotcom

  jaridotcom Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilisema awe na mapenzi ya dhati nikiamini akiwa hivyo tabia yake ni nzuri......sura sijari sana lakini isiwe ya kidume sasa.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hata mlevi, mchafu, mmbea n.k anaweza akawa na mapenzi ya dhati.Je hizo sifa sio kikwazo kwako?
   
 6. jaridotcom

  jaridotcom Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaaah Biashara ipo tayari,kuhusu tabia nimesema awe na mapenzi ya Dhati,sura siangalii sana lakini asiwe na sura imesimama sana kama ya mwanaume........kwa mwenye sifa ani PM tupeane no au njia nyingine ya kuwasiliana.
   
 7. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  mbona umeamua kutafuta mchumba kimila hivyo!?
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  haya naja, nipokee ubungo na begi langu na watoto 2.
   
 9. Binti Magufuli

  Binti Magufuli JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 7,455
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaa, hii ndio JF bana,
   
 10. jaridotcom

  jaridotcom Member

  #10
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  okey wewe nitumie tu hiyo 4n no yako nitakupokea maana niko maeneo ya Riverside
   
 11. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #11
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mi navigezo karibia vyote bt muislam kama vp badili dini, teh teh
   
 12. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #12
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,797
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Hapo ndio utofautishe kati ya ''mtoto wa kiume'' na ''mwanaume'' then jipange chaguo lako ni lipi kabla hujaenda mbali. Age iendane na upstairs vinginevyo utakua na ''mtoto mkubwa badala ya mume''
   
 13. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #13
  Jan 31, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  utabeba wangapi?
   
 14. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,849
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Kongosho nakutunukia u chairman wa jf utani manake!
   
 15. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,849
  Likes Received: 1,288
  Trophy Points: 280
  Mi napingana na wewe kwa kuchagua m2 wa 4m4, sasa hao wa std 7 waolewe na nani huoni kama unazidi kuleta gap kati ├Ża walionacho na wasionacho.Ungeoa wa std 7 ili ukimpa mtaji at
   
 16. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kuwa majini sana,mm nilikutana na mwenzangu kwa njia km hizi na tunawacliana vzr sana ila kwa ss yupo ughaibun kwa ajili ya kazi, huwezi amini tunapenda sana na tunaheshimiana sana.nampenda ananipenda pia na hv ss tuna mtt 1. na huwezi amin yuko vzr kila idara familia na yeye mwenyewe pia ingawa hatupishan sana kipato. mm ni a/c na yy ni muhandisi.haya safari yenye mafanikio
   
Loading...