Mimi ni single father ambaye sikuwa plan lakini nilijikuta single father. Napoandika hii comment niko hospital katikati ya jopo la wanawake wengi wababa tuko wachache tumewaleta watoto kwa daktari wa watoto. I am enjoying it kumlea binti yangu.
Kuhusu mama yake we are in good terms maana alinipa mtoto mwenyewe na uwa tunawasiliana kuhusu habari za mtoto.