Natarajia kuwa Single Father

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Wakuu natarajia hapo mbeleni kuwa single father wa watoto wanne na single mothers wanne!

Nipeni mbinu jinsi ya kudeal na hao single mothers wangu watarajiwa kuhusu kutatua matatizo ya hapa na pale kwenye dawati la jinsia!

N:B Sitakimbia majukumu ya kulea hao watoto lakini kuoa ndio marufuku
 
Mimi ni single father ambaye sikuwa plan lakini nilijikuta single father. Napoandika hii comment niko hospital katikati ya jopo la wanawake wengi wababa tuko wachache tumewaleta watoto kwa daktari wa watoto. I am enjoying it kumlea binti yangu.
Kuhusu mama yake we are in good terms maana alinipa mtoto mwenyewe na uwa tunawasiliana kuhusu habari za mtoto.
 
Dondoo: Kuwa tu mkweli na umweleze huyo unayetaka kukuzalia adhma yako.
 
Yajue ya kuzingatia kama Baba,,, Mengine utayajua Field....

Relax,, Maisha lazima yaendelee...
 

Hongera mkuu kwa kupata single mother mwenye busara ila ungepata wale micharuko ungejikuta mshagawana majengo bure [emoji851]
 
Unanishawisha niwe Kama wee ila naogopa jamii itanichukuliaje
 
Wengine mbakie tu kuwa watazamaji jamani. Sio lazima mzae, mtaipunguzia dunia shida zisizo za msingi. Muwaache wanaume wenye akili tu ndio waitwe "baba".
 
Wengine mbakie tu kuwa watazamaji jamani. Sio lazima mzae, mtaipunguzia dunia shida zisizo za msingi. Muwaache wanaume wenye akili tu ndio waitwe "baba".

Mwanaume mwenye akili ni yule anayeepuka kwa kila namna utapeli unaoitwa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…