nataka wajuane wakiwa wadogo ili wawe kama mapachaHata hawajazaliwa bado,.tayar unawaza uwakutanishe.. !!
Sasa hadi wakawe na akili ya kutambulishwa ndugu ni lini ? [emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]
Yani unawaza 2030 itakuaje [emoji56][emoji56]
watakuchkila kma malaya wengine walivyo.. 😎Wakuu mwaka huu natarajia kupata watoto wawili watakaopishana mwezi mmoja na kila mmoja akiwa na mama yake. Tatizo lipo kwenye kuwakutanisha hawa watoto wajuane kwamba ni mtu na mdogo ake, hivi watanichukuliaje!
Watakuchukulia ulikuwa unamwaga ndani kwa kila nyapu.Wakuu mwaka huu natarajia kupata watoto wawili watakaopishana mwezi mmoja na kila mmoja akiwa na mama yake. Tatizo lipo kwenye kuwakutanisha hawa watoto wajuane kwamba ni mtu na mdogo ake, hivi watanichukuliaje!
🙄🙄🙄umelud...
hcho kishepu ni chako.. 🙃
Umejuaje kua hao ni watoto ni wako?,umefanya kipimo gani kujua?Wakuu mwaka huu natarajia kupata watoto wawili watakaopishana mwezi mmoja na kila mmoja akiwa na mama yake. Tatizo lipo kwenye kuwakutanisha hawa watoto wajuane kwamba ni mtu na mdogo ake, hivi watanichukuliaje!
aah sawaa mkuu...
Ndo unawaza watakuchukuliaje ?nataka wajuane wakiwa wadogo ili wawe kama mapacha